ruge na clouds fm wanampendelea chibuHhhhhaaaaaaaaaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ruge na clouds fm wanampendelea chibuHhhhhaaaaaaaaaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀
pita hivi............siongei na stressed people, i have realized am in full stress zone, no wonder ugly faces its your identity, am out i can not handle your anger anymore sijazoea mwenzenu, endeleeni kujiliwaza siku mfalme wenu akionesha ufalme wake kwa vitendo nijakuja kumpongeza sinaga roho ya kwa nini??? kama huu mtaa wenu.Ooowww....so awesome!!!
Can I be your guest...instead?
Show me what you can offer, I wanna enjoy the items!
ruge na clouds fm wanampendelea chibu
ila mashabiki wa kiba mna moyo mgumu ?!
nyie mashabk wa diamond tutawazomea tena sasa hv kama kwenye fiesta aya nyie endeleeni ndo maana mmeshinda tuzo kidogo.tusubirini mwakani huko thauthi mtatukoma lazma tubebe thaba
Na tutazidi kujishaua sana tyuuu...
Ukiona povu limekolea vilivyo ujue sabuni ya Kiba na inatutakatisha haswaaa!!
Yeah I second you, ndomo ni juhudi zake na ujanja ndo vinambeba he is less of a musician but an artist who performes the so he calls himself music.
As to Kiba, kipaji si ndo hiki sasa.
Sauti nzuri, mashairi yaloshiba na sio majina majina tu ya watu na mama zao. Good &entertaining melody! Na ndicho nilichokichagua kwa Kiba.
So mie ndomo hata afike wapi kwakweli excuse me......kwangu atabaki kuwa normal sana tena chini ya Kiba. Namkubali Kiba miaka mia yoteeeeeeeee! Ndomo mkimkubali nyie inatosha na mgawanyo wenyewe huo wa majukumu!
Happy sunday guys, its a beautifull day, may it be a gud day to you all
Kibaaaa miaka miaaa!!
Kwendraaaaa!!View attachment 206701kizuri kula na nduguyo, pamoja tusherekee waungwana.
Msikate tamaa mtafika level hizi, ile sio leo wala kesho.
Yani hata wakivua nguo humu na Kiba nipo nae miaka miaaaa!!mahaba zaidi na zaidiiiiWoyoooooo wamuache miaka alfu lela ulela
Mara ooh am out,sijazoea mie mara ugly facesz!!Paula Kilaki wewe una vituko sana!!So sie tuna sura mbaya ya kwako nzuri!!Hapa hatujaja kuuza nyago bibi huu ushabiki tuuu!!Roho isikutoke bureee kama unagaiwa hata sentiii!!Maneno yanakutoka kama umemeza redio!!Kiba tumemchagua sie wala hatukulazimishwa!!