Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Mashabiki wa Kiba wanajitambuaa msilazimishe kuwa huwa tunashinda wote,angalieni na muda mtu anaofanya activity humu!!ukikuta comment yake usidhan alitumbulia mimacho jf kutwa kuchwaa nooo!!hapa burudani kazi kwanzaa!!Ciroc na gongo zinafanana kwa ukimiminika tuuuu
