Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hivi huyu ally kiba ni mbwa gani mbona simjui? Kwa nini alinganishwe na nguli almasi?
Ama kweli ID nyingine zinaonyesha ni jinsi gani mtu alivyo mtupu kichwani...eti Mudawote!!!
Wewe ni nani hadi umuite Kiba mbwa?ina maana sisi na akili zetu tungepoteza muda kumjadili mbwa kweli?
Ok,kama ni mbwa kipi kilichokukereketa hadi umuulizie?tena ukome wewe ndiye mbwa,mbwa.
Last edited by a moderator: