Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nifah once said Mdakuzi is only a brother leo mnaitana sweetdarling!Nitakufa na kijiba cha roho,njiwa wangu mimi nasikia already taken!!
 
Najuwa itakuwa kwa Paulo tu, kama ulipitia enzi hizo basi tunaweza kuwa rika moja hawa wa Murugo generation hawaelewi kitu hapo.
Akuu!nilikua nasoma vitabu ivo kaka zangu ndio walitumia 99 havikuwepo atii!!(Kwa sauti ya kitoto)
 
Usiku mweemaa kama ivi!!Na mtaumia sanaaaa kuona sie tunaishi na tunacheka vizuri!!By the way Matola kuna Basha amezimika na swagg zako kule mtaa wa Tandale anakutaja taja tu!!
 
Kweli kabisa,kwa kua hatuvunji sheria tunaogopa nini?au tumuogope nani kwa mfano?
Na watuwache tulale kwa raha zetuuuu!
Hahahahahahaaaa! Hakuna cha kuogopa tena. Nikuambie kitu, yaani leo nimejuta sana kuwa huku mbali.
Ova
 
Hahahahahahaaaa! Hakuna cha kuogopa tena. Nikuambie kitu, yaani leo nimejuta sana kuwa huku mbali.
Ova

Ohhh!usijali baby najua unatafuta jamani!Ili ukirudi tu naenda zangu bandarini kuchukua lamboghini langu namie!Nini murrano bwana?
Hahahaaaa...lol
 
Mhhh mbona ka una hasira kulikoni ushauri wako nini sasa calm down

ushauri utasaidia nini na nyimbo nzuri zote keshaimba na kamaliza!..sasa anatumia nguvu tuu. ningekua karibu nae ningemwambia asihangaike kurekodi rekodi sasa upepo unavuma tandale na si dhani kama anaweza kuhit kiasi cha kumpita yule -----. kiba. a relax sasa hivi ajipange taratibu aki panick atajikuta anatoa nyimbo kumi halafu zote hazihiti, anaweza kuchanganyikiwa na kupotea kabisa. ajipange taratibu kipaji anacho asilazimishe kupaa kipindi hiki ambacho domo yuko juu atayumba sana.
 
Back
Top Bottom