Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shouting ya kiba inatoka linnni???!!! Paka nyimbo imechuja
Hakuna wimbo wa King Kiba uliowahi kuchuja, labda umemfananisha na mtu mwingine.
Ova
Hazijachuja kwakoo labdaaa nyimbo za diamond ndo hazchujag tuuuu
Bishaaa, una haki ya kubisha
Mbona unakuja na vurugu usiku huu, ushapigwa na mumeo au ndo mimba changa ishaanza kukusumbua?
Ova
He hee kidogo povuuuu....
Mnatuzo ngapiiiii
He hee kidogo povuuuu....
Mnatuzo ngapiiiii
He hee kidogo povuuuu....
Mnatuzo ngapiiiii
Mbona unakuja na vurugu usiku huu, ushapigwa na mumeo au ndo mimba changa ishaanza kukusumbua?
Ova
He!heee! Haya maneno umejifunzia wapi?nakuonaga mpooole mwenyewe!
Unadhani nilitoka kapa kwenye ile tuition? So vilaza kama hawa ndo nafanyia home work hahahaaaa
Ova
Murembo ya 👑👑👑👑👑 🚶🚶
Acha utani wewe!Kiba ana murembo mkarez sio huyu bwana...
Kwani hyo mbaya?
Mhhh...uzuri wa mtu upo machoni mwa mtazamaji
Ninayemjua sie huyu
Unamjua nani?
Wifi yangu kwa Kiba