Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Me nimo ee
Yaani wewe jamaa una ID's thelathini na moja, utawezaje kuaminika katika thread hii? Kuna mwenzako ana ID's nne tuko naye hapa kila siku.
Anakera kwa sababu ID moja anajitia kumfagilia Kiba na nyingine anamsifu Nassib. Na kuna siku alitutukana hapa kwa ID yake nyingine.
Nadhani na wewe umekuja kwa malengo hayo pia, so kesho nikiwa na muda nitazitaja ID's zako. Mtu mmoja ID's 31 unazitumiaje? Au kwa sababu ni bure? Au za kutukania watu?
Ova
 
kiba atulie afanye mambo hzo tuzo za kimataifa hata saida karol halpata ila yuko wap
 
Ali Kiba bana unachosha mashabiki wako, kwanini hujui kucheza na muda?
Unapokuwa hot make sure u remain hot as long as possible, toka umetoa Mwana ika hit umefanya nini kingine? Dunia ya leo unatoa wimbo bila video?
Unamengi yakujifunza toka kwa akina Ommy dimpoz, Mavoko na Platnumz
Unatufanya wepenzi wako tunatumia msuli sana kukubakiza juu wakati wewe mwenyewe unachelewesha mambo
Kumbuka watu watafikia mahali watakuchoka bana
 
Back
Top Bottom