Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa heshima ya bella ngoja nikae kimya.
Kwa heshima ya bella ngoja nikae kimya.
Kuna mcongoman nipo nae hapa kinondoni ananiambia kama itaanzishwa bendi za muziki kitaifa ataomba uhamiaji wa Congo wampe uraia king kiba
Ili mchukua kibakuli wiki kupata na kupanda na key wakati Bella alichukua cku huyu Bella hatari kamgaragara kibakuli nacho kumbuka n sauti ya kibakuli akiimba eeeh eeeh haaah shikamo bella
Ili mchukua kibakuli wiki kupata na kupanda na key wakati Bella alichukua cku huyu Bella hatari kamgaragara kibakuli nacho kumbuka n sauti ya kibakuli akiimba eeeh eeeh haaah shikamo bella
Umepanik ndugu
Hahahahaaa pale mtu anapotambaa na story ya kijiweni utadhani alikuwepo vile!
Haya basi sio case,kama Kiba kachukua wiki nzima vipi yule MBOVU wetu wa mtaa wa pili?
Si angechukua mwaka mzima?
Ndicho alichosema kibakuli kwny xxl ya clouds FM
Hahahaha umepanick bro, unafikiri hiyo ni nana au mapenzi pesa? Chezea mafundi wa masauti.. papleen on point
Kwa hiyo video lini
Kwa jinsi kibakuli alivyomzito video ni mwakani mwezi kama huu mpaka ajipange kupitisha harambee ndo apate visenti vya kwenda sauzi kwa godfather