Ali Kiba Firdausi huwezi kufika kiki, hizi kiki mwisho wake ni Shilawadu tu

JF raha sana maana ukitaka kuandika comment kabla ya kuandika tayari mdau ameshawahi kuandika kwa niaba yako...akishudha nondo naomba uni-tag mdau
[emoji1] [emoji1] Ok sawa kaniaidi atashusha nondo.

Hamna tatizo nitaku tag mkuu.
 
Endeleeni kupambana na Zari,king kiba anafanya mambo safi na ya kumtukuza mungu,no kiki lakini life linasonga,domo angeenda sasa tungekoma kwenye mitandao
 
Uwezo wa MUNGU angepewa mwanadamu hakuna mtu angeenda peponi, yaani umeshamsema na kuhukumu tayari. Acha kufanya kazi ya MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…