Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
JF raha sana maana ukitaka kuandika comment kabla ya kuandika tayari mdau ameshawahi kuandika kwa niaba yako...akishudha nondo naomba uni-tag mdauMkuu shusha nondo tafadhari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF raha sana maana ukitaka kuandika comment kabla ya kuandika tayari mdau ameshawahi kuandika kwa niaba yako...akishudha nondo naomba uni-tag mdauMkuu shusha nondo tafadhari.
[emoji1] [emoji1] Ok sawa kaniaidi atashusha nondo.JF raha sana maana ukitaka kuandika comment kabla ya kuandika tayari mdau ameshawahi kuandika kwa niaba yako...akishudha nondo naomba uni-tag mdau
Endeleeni kupambana na Zari,king kiba anafanya mambo safi na ya kumtukuza mungu,no kiki lakini life linasonga,domo angeenda sasa tungekoma kwenye mitandaoNi hivi unapofanya ibada kama kusaidia yatima then unakwenda na makamera ili uonekane na public kimsingi dini yoyote ile haikubalini na sadaka za aina hii na ukweli hupati swawabu yoyote kwa sababu Mungu anatambuwa mpaka ndani ya nafsi yako kwamba lengo lako kuu ni publicity na siyo sadaka, sadaka haitaki mbwembwe na kiki.
Firdausi ni pepo ya juu sana huwezi kuiona Firdausi kama bibi harusi tu kwa gunia la mchele na sabuni na makamera kibao.
Hii tabia naikemea kwa wote wenye huu mchezo wa kujionesha kwenye matendo ambayo inatakiwa Mungu tu ndio akuhesabie na yule unayemtendea tu.
View attachment 790958
Uwezo wa MUNGU angepewa mwanadamu hakuna mtu angeenda peponi, yaani umeshamsema na kuhukumu tayari. Acha kufanya kazi ya MUNGUNi hivi unapofanya ibada kama kusaidia yatima then unakwenda na makamera ili uonekane na public kimsingi dini yoyote ile haikubalini na sadaka za aina hii na ukweli hupati swawabu yoyote kwa sababu Mungu anatambuwa mpaka ndani ya nafsi yako kwamba lengo lako kuu ni publicity na siyo sadaka, sadaka haitaki mbwembwe na kiki.
Firdausi ni pepo ya juu sana huwezi kuiona Firdausi kama bibi harusi tu kwa gunia la mchele na sabuni na makamera kibao.
Hii tabia naikemea kwa wote wenye huu mchezo wa kujionesha kwenye matendo ambayo inatakiwa Mungu tu ndio akuhesabie na yule unayemtendea tu.
View attachment 790958
mzee wa Upako ni MUNGU.. ?huyo anajion san hat mzee wa upako kashasem firdaus ataisikia tu
Sana tu, ila mshamba sana.Matola mbona ulikua unampendaga Kiba,imekuaje?