Ali Kiba Firdausi huwezi kufika kiki, hizi kiki mwisho wake ni Shilawadu tu

Ali Kiba Firdausi huwezi kufika kiki, hizi kiki mwisho wake ni Shilawadu tu

Ni hivi unapofanya ibada kama kusaidia yatima then unakwenda na makamera ili uonekane na public kimsingi dini yoyote ile haikubalini na sadaka za aina hii na ukweli hupati swawabu yoyote kwa sababu Mungu anatambuwa mpaka ndani ya nafsi yako kwamba lengo lako kuu ni publicity na siyo sadaka, sadaka haitaki mbwembwe na kiki.

Firdausi ni pepo ya juu sana huwezi kuiona Firdausi kama bibi harusi tu kwa gunia la mchele na sabuni na makamera kibao.

Hii tabia naikemea kwa wote wenye huu mchezo wa kujionesha kwenye matendo ambayo inatakiwa Mungu tu ndio akuhesabie na yule unayemtendea tu.
View attachment 790958
halafu kituo amechagua cha din yake na anajenga msikiti na nyie wenzangu na mie kazaneni kushangilia timu zenu za kiba na diamond wenzenu wanajenga misikiti hata mfuko wa sement kanisan au kituo cha kanisa hamna kazi mnayo
 
Wapi nimesema Ali kiba ni jambazi??!

Unajua ni kwanini mzee Yusufu aliacha kuimba? Coz dini anayoiamini hairuhusu alichokua akikifanya,nadhani utakua umeelewa kama ulikua na lengo la kueleweshwa na si kingine.
kwahy wasanii wote waache sanaa mana kl wanachofanya n tofaut na dini zao au kuna dini inaruhusu uhuni unaofanywa na wasanii ?
 
Inabidi muanzishiwe jukwaa la dini kuliko kuwaruhusu kutumia jukwaa hili la Celebrities kueneza dini zenu
 
Kwa hapa bongo aina ya pesa hiyo labda uende uichukue moja kwa moja kule wanapofanya printing ya pesa yenyewe, ila ukiona imeingia kwenye mzunguko tu hiyo pesa sio safi. Haujawahi sikia pesa iliyotumika kuulia ndio hiyo hiyo ilifutwa damu kisha ikatumika kununulia Msahafu au Biblia.?
Hahahaa
 
Tatizo linaanzia hapa akikaa kimya anasemwa anaringa akionekana kwenye matukio kama ivyo 'walinzi wa peponi' wanasema hautoiona pepo basi tafrani tu [emoji23][emoji23]
 
Unajua kilicho nyuma ya pazia kuhusu kuacha mziki mzee yusuph? Tulia ukiambiwa hutaamin miaka kumi ijayo.. Ila kumbuka tu kila siri itajulikana
Aliacha muziki mwavile haendani na Imani yake hiyo ndio kai yake. Hayo ya nyuma ya pazia utayajuwa wewe.
 
Ni hivi unapofanya ibada kama kusaidia yatima then unakwenda na makamera ili uonekane na public kimsingi dini yoyote ile haikubalini na sadaka za aina hii na ukweli hupati swawabu yoyote kwa sababu Mungu anatambuwa mpaka ndani ya nafsi yako kwamba lengo lako kuu ni publicity na siyo sadaka, sadaka haitaki mbwembwe na kiki.

Firdausi ni pepo ya juu sana huwezi kuiona Firdausi kama bibi harusi tu kwa gunia la mchele na sabuni na makamera kibao.

Hii tabia naikemea kwa wote wenye huu mchezo wa kujionesha kwenye matendo ambayo inatakiwa Mungu tu ndio akuhesabie na yule unayemtendea tu.
View attachment 790958
ana muiga Dr.Mengi huyu
 
Wewe ata kijiko sidhani kama ushawahi kutoa kwa yatima
Kwenye ukoo wangu tu wapo yatima na wenye uhitaji mkubwa tu wa misaada.

Sijafikia kutoa msaada nje ya familia, ni unafki mtupu familia na ukoo wenu dhiki tupu huwapi msaada unakwenda na mikamera kwenye vituo vya watoto ambao wana wafadhili mbalimbali na huenda hawajawahi hata kulala njaa.
 
Nlichokigundua ni kuwa Huyu jamaa huwa anajificha tu! Ila huwa anapenda sana sifa zisizo na msingi......NB:mkono wa kulia ukitoa, wakushoto usione
Alichokisema Mzee wa Upako kuhusu mtu huyu ni sahihi kwa 100%.
 
Wapi nimesema Ali kiba ni jambazi??!

Unajua ni kwanini mzee Yusufu aliacha kuimba? Coz dini anayoiamini hairuhusu alichokua akikifanya,nadhani utakua umeelewa kama ulikua na lengo la kueleweshwa na si kingine.
Ingepaswa avigawe vitu vyote alivyovipata wakati anafanya mziki,ingependeza Ila bado anajidanganya na kutafuta kiki mzee yusuph
 
Unajua kilicho nyuma ya pazia kuhusu kuacha mziki mzee yusuph? Tulia ukiambiwa hutaamin miaka kumi ijayo.. Ila kumbuka tu kila siri itajulikana
Mkuu bila shaka Jamaa atakuwa amepewa maisha na wale majamaa wa markaz na kufanya michongo yao bwimbwi ..au.!?? hebu tupe info kidogo basiiiii...daahh unatunyima uhondo chief
 
Yeye mwenyewe mzee Yusufu alisema kaacha muziki ili amrudie Mungu,sasa kama wewe unajua zaidi kuliko muhusika mwenyewe hongera sana,

Mwingine aliyeacha muziki ili amrudie Mungu wake ni Suma lee,vipi na yeye tusubiri kuna siri imefichika? Teh! Teh!
Ongezea na Saigon mzee wa ooooy oyi..kali ni kali nye! huyu kawa sheikh kbs tena na kipindi kapewa radio iman
 
Dini ingekuwa haitaki matangazo ingekuwa bora sana na zile kelele za muazzin asubuhi zingeachwa.

Mnapokataza matangazo ya mambo mema kwa Ali Kiba, huku kila siku mnatangaza watu kuja msikitini mara tano kwa kelele za muaazzin mtakuwa mnaji contradict.

Wabudha wakisema hawataki mtu atoe sadaka kwa kujionesha nitawaelewa. Hawapigi kelele za muazzin wala kuhubiri uende kwenye temple lao.

Huku kwingine unafiki tu.
 
Back
Top Bottom