M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,661 Reaction score 1,267 May 17, 2016 #21 Huyu alikiba hata akaimbe wapi simwelewi
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,957 Reaction score 6,221 May 17, 2016 #22 Szczesny said: Kuanza na audio tuu hilo huwa ni kosa Kuji promote bado si sana Nyimbo zake nyingi huvuja kabla ya kutambulishwa Click to expand... Anavujisha makusudi cuz hana konfidensi kama ngoma itahiti au la hivyo anapima urefu wa mto kwa kuingiza mguu mmoja. Ikibuma anadai imevuja ikihiti anakuja na stori nyingine.
Szczesny said: Kuanza na audio tuu hilo huwa ni kosa Kuji promote bado si sana Nyimbo zake nyingi huvuja kabla ya kutambulishwa Click to expand... Anavujisha makusudi cuz hana konfidensi kama ngoma itahiti au la hivyo anapima urefu wa mto kwa kuingiza mguu mmoja. Ikibuma anadai imevuja ikihiti anakuja na stori nyingine.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 May 18, 2016 #23 Mi umeniacha hapo kwenye mziki natural tu, ndio kwanza nimeisikia Leo hiyo kitu.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 May 18, 2016 #24 Alikiba Ndio alieimba sindirela....?? Hivi bado underground tu....!??
papiso JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 391 Reaction score 231 May 18, 2016 #25 Hii nyimbo yake mpya ni moto wa kuotea mbali hauniishi hamu #aje