Ali Kiba: Hata bila video ngoma zake kali

Ali Kiba: Hata bila video ngoma zake kali

Kuanza na audio tuu hilo huwa ni kosa
Kuji promote bado si sana
Nyimbo zake nyingi huvuja kabla ya kutambulishwa
Anavujisha makusudi cuz hana konfidensi kama ngoma itahiti au la hivyo anapima urefu wa mto kwa kuingiza mguu mmoja. Ikibuma anadai imevuja ikihiti anakuja na stori nyingine.
 
Mi umeniacha hapo kwenye mziki natural tu, ndio kwanza nimeisikia Leo hiyo kitu.
 
Alikiba Ndio alieimba sindirela....?? Hivi bado underground tu....!??
 
Hii nyimbo yake mpya ni moto wa kuotea mbali hauniishi hamu #aje
 
Back
Top Bottom