Ila Kiba kanikera sehemu moja..
Haiwezekani nyimbo zote za kwenye album yake akaanza kuimba yeye, kwanini nyimbo zengine asikae mwisho ili amtangulize alimshirikisha/washarikisha?
Ni kukosa ubunifu kwa kweli.
Na naona watu wanaisifia sana huko mitaani, kiukweli sipo upande wowote lakini kwa hii albamu sijaona maajabu yeyote.