MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 203
- 237
K2ga Abdukiba tommy ni wazambia? Punguza msongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimekuhamMi nimejaa tele
Mimi ninavyojua kumfollow mtu imanisha kuna kitu unategemea kujua au kuona kutoka kwake sasa sio mantic ya kumfollow mke wake wakati anajua kila kitu kumhusu.Ila jamaa dah hata kumfollow mkewe haja.mfollow.View attachment 1968690
Umeisikiliza ndombolo mkuu?Ila Kiba kanikera sehemu moja..
Haiwezekani nyimbo zote za kwenye album yake akaanza kuimba yeye, kwanini nyimbo zengine asikae mwisho ili amtangulize alimshirikisha/washarikisha?
Ni kukosa ubunifu kwa kweli.
Na naona watu wanaisifia sana huko mitaani, kiukweli sipo upande wowote lakini kwa hii albamu sijaona maajabu yeyote.