Hamiliki TV wala FM radio msimchore kijana wa KariakooAna miliki kiba TV na kiba FM siku nyingi ila hataki tu zisikike sababu hapendi kushow off.
Inasemekana jamaa ana mambo makubwa ila hayaweki wazi sababu Hapendi SHOW OFF ,amemuacha tu mpinzani wake diamond ajishebedue
1.Ana mchumba mombasa ila hataki aweke wazi kwani Hapendi SHOW OFF
2.Anamikataba mikubwa kuliko Diamond ila Hapendi SHOW OFF
3......................
Please ongezea na zako .
Kukushawishi ni rahisi kwamba Alikiba huwa hapendi makuu ndo maana anakubali hata show za bei ndogo,pia ni mzalendo hapendi kwenda njeNahitaji ' ushawishi ' mkubwa sana wa kunifanya nisiamini kuwa Diamond Ndomo hayupo juu ya Kiba Mpua kwa kila Kitu.
Just joking my dada!Hamiliki TV wala FM radio msimchore kijanavwa Kariakoo
Kukushawishi ni rahisi kwamba Alikiba huwa hapendi makuu ndo maana anakubali hata show za bei ndogo,pia ni mzalendo hapendi kwenda nje
Ana kipaji cha kuimba sauti yake bwanaIla tuwe wa kweli mchizi hanaga show off.
At least ana kijinidhamu flan hivi tofauti na wasanii wengine esp Diamond