Ali kiba huwa hapendi show off

Ali kiba huwa hapendi show off

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Inasemekana jamaa ana mambo makubwa ila hayaweki wazi sababu Hapendi SHOW OFF ,amemuacha tu mpinzani wake diamond ajishebedue

1.Ana mchumba mombasa ila hataki aweke wazi kwani Hapendi SHOW OFF

2.Anamikataba mikubwa kuliko Diamond ila Hapendi SHOW OFF

3......................

Please ongezea na zako .
 
Bongo movie wote kagonga ila hapendi show of kama mla makombo domo
 
Inasemekana jamaa ana mambo makubwa ila hayaweki wazi sababu Hapendi SHOW OFF ,amemuacha tu mpinzani wake diamond ajishebedue

1.Ana mchumba mombasa ila hataki aweke wazi kwani Hapendi SHOW OFF

2.Anamikataba mikubwa kuliko Diamond ila Hapendi SHOW OFF

3......................

Please ongezea na zako .

Nahitaji ' ushawishi ' mkubwa sana wa kunifanya nisiamini kuwa Diamond Ndomo hayupo juu ya Kiba Mpua kwa kila Kitu.
 
Kukushawishi ni rahisi kwamba Alikiba huwa hapendi makuu ndo maana anakubali hata show za bei ndogo,pia ni mzalendo hapendi kwenda nje

Jaribu kunishawishi tena Mkuu ila kwa hapa bado sana. Na kingine ninachojua tu ni kwamba Diamond Ndomo anapendwa sana na Wanamume na Kiba Mpua anapendwa mno na Wavulana.
 
Kila mtu ana aina ya maisha aliyoamua kuishi acheni kulinganisha watu nasibu na kiba hata majina ni tofauti ila hata ifosiwe vipi nasibu yuko juu mshapu,mtumia fursa mbunifu mwenye bidii iko uchi.
 
Back
Top Bottom