Ali kiba huwa hapendi show off

Week end house girl wetu anaolewa tutamuita aje apige show
 
Ana timu kubwa mitandaon yenye kutukana matusi masaa 24 ila hapend show off

Anapost picha za wenzie kisha anafuta ila hapend show off

Aiseee mnavyompa sifa sasa wakat hata hana sifa hizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini Diamond is petty kuliko alikiba jaman mweeh!
Ofcoz AK kuwa na washabiki si kosa lake ila jamaa anafanya mambo yake kimya kimya kuliko Almasi
 
Kama hapendi show off wewe umejuaje kama ana mchumba mombasa?? Au ndio amekutuma uje kumtangazia humu.
Mikataba ipo mingi, mkataba wa mwenye nyumba na mpangaji hauhitaji show off
Ila mi hayo yote nilikuwa sjui
Kwa hili jamani Ali anajicontrol sana kuliko Baba tifwah
 
Ila mi hayo yote nilikuwa sjui
Kwa hili jamani Ali anajicontrol sana kuliko Baba tifwah
wewe hujui ila mimi najua. sababu angekua anacontrol kweli tusingejua kadate na jokate, kamkula meneja wake, kapanga tabata, kwao kariakoo, alikua anatuonesha mjengo wa demu wake baada ya kumwagwa hana hata kibanda.
mbona watoto wake anawaonesha mitandaoni??
inshort alikiba hana cha kuonesha ndio maana kaufyata. angekua nacho asingekaa kimyaa.
 
Jaribu kunishawishi tena Mkuu ila kwa hapa bado sana. Na kingine ninachojua tu ni kwamba Diamond Ndomo anapendwa sana na Wanamume na Kiba Mpua anapendwa mno na Wavulana.
Tabia ya wanaume huwa ni kutulia na wapenzi,wavulana kurukaruka
 
Acheni Unafiki nyie, Rayvany ana kastudio tu tz imejua lady jay dee anamiliki nyumban lounge na tz inajua. sasa yeye ana mikataba gani ya siri hadi iwe mikubwa na isijulikane??
au amesaini na watu wasiojulikana maana mikataba mikubwa husainiwa na taasisi au kampuni zinazojulikana.

Acheni kumsifia mwenzenu ajione mkali kumbe bado sana
 
Ila yeye hajawahi ku publicize hivo vitu.
Mpaka mumfuatiie.
Hata tukisema okey he us open kwa kweli siyo kwa level ya diamond
 
anamiliki kiba ice cream ila hapendi pia ametowa ngoma kali na Ciara ila hapendi show off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…