Ali kiba huwa hapendi show off

Ali kiba huwa hapendi show off

Kisha fanya collabo na JayZ, Minaj, 50 Cent na nyimbo bado zipo maktaba.....kweli tapili boko mchizi wa geto papili papili hapendi mashow-off na macamera kibao
 
Ameshindwa huyo kuendelea afungue vituo vya kulelea mbwa tu maana musiki umemushinda
 
Kwa sasa kishapigwa Gape baya sana na Mond, silaha aliyobakiza ndio hiyo kwamba hapendi show off.
Lakini ukweli nikwamba anakimbilia kwenye level ya kulinganishwa na kina Quin Darling. Maana hata Harmo na Ray wako level nyingine kabisa.
 
Kama unafanyia mziki chumban kwako nani atausikiliza? Hamna cha show off wala nin mule hamna kituu,zero kabisa
 
Ni moja ya show off hiyo
Kiba ana discpline kuliko Diamond
Nadhani Diamobd kamzidi Kiba kila kitu kasoro kipaji na nidhamu
Ingia Instagram account yake halafu urudi hapa kuthibitisha kwamba hapendi show off halafu mimi nikufundishe nini maana ya show off na ni watu gani hasa hawapendi show off, ila Kiba si miongoni mwao wasiopenda show off. Huyu ni mshamba tu.
 
Back
Top Bottom