Hahahaaahaaa hatariousMumeo ana shida sana
Lexus Mayai
[emoji350] [emoji351] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kenya in YouTube seduce me imekamata no1 hivi ninavyoongea
AsanteKibamia bana
HAYA ACCORDING TO FORBES JOURNAL TENA MWAKA 2016 DIAMOND ANA NETWORTH YA $ 5MILLIONS THEN ALI KIBA ANA NETWORTH YA $ 4MILLIONS THEN PROF.JAY HAS NETWORTH YA $3.5MILLIONS KAKA UWE UNAFATILIA KWANZA KABLA YA KUONGEA
Wewe kilaza acha akili zako za kuvukia barabara ... Hivi nyie mkoje ??? Despasto ni Portuguese Language vocabulary wewe taahiraEti nyimbo ili tengenezwa miaka miwili iliopita, wakati umo ndani kaimba dispatiso, ngoma iliotoka Mwaka huu kutoka Puerto Rico
Sasa ndugu kwani hilo neno limetoka mwaka huu?Eti nyimbo ili tengenezwa miaka miwili iliopita, wakati umo ndani kaimba dispatiso, ngoma iliotoka Mwaka huu kutoka Puerto Rico
Hilo neno kalichukulia kama bidhaa mpya ambayo ni ya mwaka huu...Wewe kilaza acha akili zako za kuvukia barabara ... Hivi nyie mkoje ??? Despasto ni Portuguese Language vocabulary wewe taahira
Sent From My Nokia Ya Tochi
Bora umwambie yaan hawataki kiba awe juumwanataka daimond tuHayo ni mawazo yako tu. Mbona Mr nice alifanikiwa. Je, walimfananisha na nani ili kumnunisha?
By the way, kwenye interview yake hajazungumzia kuhusu mond. Ntie ndo msiopenda mwingine afanikiwe zaidi ya mond
Yaani mnataka mond tu ndo awe mfanikiwaji.
Ningekuona unaakili kama ungekua mshabiki wa christian Bella au rama dee au dogo aslay. Maana hawa naviona vipaji ndani yao..
Hicho ulichoandika wewe, kinaakisi kuwa upo team gani
Sent using Jamii Forums mobile app