Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

Kumbe kibaya ila kinapewa sapoti.Ni aibu kubwa kwa msanii kusema kuwa anapewa sapoti ili kazi yake mbay ionekane nzuri.
 
Wimbo ni mzuri haijawahi tokea. Unajua ukiusikilizia kwenye vi simu simu unaweza usipagawe sanaa ila duui uweke kwenye booooofaàaaa lol lol lol bonge la dude
 
Eti nyimbo ili tengenezwa miaka miwili iliopita, wakati umo ndani kaimba dispatiso, ngoma iliotoka Mwaka huu kutoka Puerto Rico
 
21149223_169404436955116_9187330238969806848_n.jpg
 
HAYA ACCORDING TO FORBES JOURNAL TENA MWAKA 2016 DIAMOND ANA NETWORTH YA $ 5MILLIONS THEN ALI KIBA ANA NETWORTH YA $ 4MILLIONS THEN PROF.JAY HAS NETWORTH YA $3.5MILLIONS KAKA UWE UNAFATILIA KWANZA KABLA YA KUONGEA

Labda Forbes ya Tandale, Forbes original ya Marekani haijawahi kuandika hayo.
 
Eti nyimbo ili tengenezwa miaka miwili iliopita, wakati umo ndani kaimba dispatiso, ngoma iliotoka Mwaka huu kutoka Puerto Rico
Wewe kilaza acha akili zako za kuvukia barabara ... Hivi nyie mkoje ??? Despasto ni Portuguese Language vocabulary wewe taahira

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Eti nyimbo ili tengenezwa miaka miwili iliopita, wakati umo ndani kaimba dispatiso, ngoma iliotoka Mwaka huu kutoka Puerto Rico
Sasa ndugu kwani hilo neno limetoka mwaka huu?
 
Wewe kilaza acha akili zako za kuvukia barabara ... Hivi nyie mkoje ??? Despasto ni Portuguese Language vocabulary wewe taahira

Sent From My Nokia Ya Tochi
Hilo neno kalichukulia kama bidhaa mpya ambayo ni ya mwaka huu...

Huu ushabiki itabidi tuwe tunafanyiwa interview maana dah
 
Hayo ni mawazo yako tu. Mbona Mr nice alifanikiwa. Je, walimfananisha na nani ili kumnunisha?

By the way, kwenye interview yake hajazungumzia kuhusu mond. Ntie ndo msiopenda mwingine afanikiwe zaidi ya mond

Yaani mnataka mond tu ndo awe mfanikiwaji.

Ningekuona unaakili kama ungekua mshabiki wa christian Bella au rama dee au dogo aslay. Maana hawa naviona vipaji ndani yao..

Hicho ulichoandika wewe, kinaakisi kuwa upo team gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umwambie yaan hawataki kiba awe juumwanataka daimond tu
 
Back
Top Bottom