Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

Unataka kusema hata dai alipotoa wimbo akitaka kumnunisha kiba na "seduce me yake".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mshabiki wa dai wala Kiba.

Ila Dai ni zaidi ya Kiba kimuziki. Mpaka sasa hivi, sijawahi kuelewa kwanini wako baadhi ya watu wanamlinganisha KiBA na Daimond.

1. Lakini kama sababu ni huu wimbo wa "Seduce me".
No doubt Kiba beats Dai.

2. Lakini Kama bifu ndio kisababishi, basi bifu hizi ZIDUMU. MANAKE ZINA TIJA NDANI YAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba hajawahi kushindana na diamond,anaishi maisha yake,wala hakuna shabiki yake anayemshindanisha na diamond.

Ni vile tu akili za ajabu za wachachache kama wewe,mnaodhani diamond yuko juu,sjui juu ya mti au kichuguu!!!!!,au yeye kuna anayeshindana naye???
 


unasahau ali kiba wana washabiki wengi royal na amekuwepo kitambo kabla ya diamond

ali kiba ndie kamtoa diamond


nipe sababu ya diamond kumuimba ali kiba kwenye fresh, nipe sababu ya yeye kutoa kibao masaa kumi baada ya kiba kutoa? sio uswahili huo? amechemka

sasa hayo ya kumuonea wivu yako, wengi humu wako vizuri kimaisha, usijifanye nabii
 
Huo ni ujuha uliopitiliza, ali kiba ameanza kusikika kuanzia 2005, na hakuwahi kupotea ki muziki, diamond ameanza kusikika 2010 . Yani miaka 5 baadae, so hiyo miaka 5 alikua anabebwa na chuki ipi?
 
Msanii akitoa wimbo msanii mwingine haruhusiwi kutoa? Hii sheria imeanza lini

Aslay, Kiba, Dayamondi, Dayna nk wote wametoa nyimbo zilizopishana masaa machache tu, hao wengine hii sheria ya kusubiri Kiba apite haiwahusu?

In a month views za Dayamondi zitakua juu kuliko za Kiba believe me you japo wimbo wake siukubali.
 
So watu wanaangalia wimbo wa Kiba ili kumkomoa Dayamondi, si sababu ya wimbo wa Kiba kuwa mzuri!! Wabongo bana
 
Y bother bidada,wakwe wameingiaje hapa,kumbe na wewe ni wale wale vinuka chupi wadhalilishaji. Inaonekana wakwe zako unawasomesha namba huko unakuja kujitapa hapa pheeeeewwww
Aisee unachuki ww. Sijui kama kwenye maisha yako umewah kufurahi. Na kama ni ke nawaonea huruma wakwe zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napita tu kukukumbusha kuwa huko Youtube hali ni mbaya..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwahiyo hata kiba hampendi afanikiwe sio?
 
Diamond tatizo anatukana sana watu mitandaoni.........yaani uwaite watu vinuka chupi halafu hao hao ukitoa mwimbo unataka wakusapoti?....anguko lake limeshafika
Kama Mungu ndiye aliye muweka juu hakika mwanadamu hawezi kumshusha,lkn kama wanadamu walimiweka juu hakika Mungu atamshusha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi sio shabiki hata wa mmoja wao. Ila ni ukweli, pitia mitandaoni, utaona jinsi wapenzi wa hawa musicians jinsi wanavyoweka ushindani.

Wakati Daimond ameshaonyesha dunia alivyo maridadi kimuziki. The Good newz kama ni Sura Dai hana sura hata tone inayo.m-boost, lakini kuhusu Muziki ana uwezo mkubwa sana kuliko kiba/na ndio unaombeba.

Kiba ana kale ka uhendsome tu.angefaa kua Model. Unfortunately muziki wake most of the time umekua overrated.
with the exceptional of this "Seduce Me".

But kuhusu wimbo wa dai wa mhenga, huu aliotoa kumfunika Kiba, amechemka vibaya sana.!! Umemfanya yeye mwenyewe kua mhenga kwakwelii wanafiki hamuwezi kumwambia ukweli. Mtamuua kwa ushabiki mbuzi.

The video itself f.*cked it down. It was the worst of all.
At least i live a long enough to see vijana wa zamani.

Wakina dai, Walipaswa wawe classy sio kiuwendawazimu. Ingekua Vema kama wakina Dai wangevaa kisasa zaidi kwenye video ile. Ingekua na mvuto na ingehamasisha sana watu.

Pili Ujumbe wake hauna kichwa wala miguu. Anajiongelea na kutaja majina ya watu maarufu tu. Yaani.ni meaningless kabisa.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…