ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
[emoji1] [emoji1]Kawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Kawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
Unataka kusema hata dai alipotoa wimbo akitaka kumnunisha kiba na "seduce me yake".Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Kiba hajawahi kushindana na diamond,anaishi maisha yake,wala hakuna shabiki yake anayemshindanisha na diamond.Mimi sio mshabiki wa dai wala Kiba.
Ila Dai ni zaidi ya Kiba kimuziki. Mpaka sasa hivi, sijawahi kuelewa kwanini wako baadhi ya watu wanamlinganisha KiBA na Daimond.
1. Lakini kama sababu ni huu wimbo wa "Seduce me".
No doubt Kiba beats Dai.
2. Lakini Kama bifu ndio kisababishi, basi bifu hizi ZIDUMU. MANAKE ZINA TIJA NDANI YAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Huo ni ujuha uliopitiliza, ali kiba ameanza kusikika kuanzia 2005, na hakuwahi kupotea ki muziki, diamond ameanza kusikika 2010 . Yani miaka 5 baadae, so hiyo miaka 5 alikua anabebwa na chuki ipi?Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Seduce meUkiwa tu humpendi diamond basi automatically unakuwa mfuasi wa kiba, Ila kwa muziki aslay yuko vizuri kuzidi Mr kariakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee unachuki ww. Sijui kama kwenye maisha yako umewah kufurahi. Na kama ni ke nawaonea huruma wakwe zakoKawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
Msanii akitoa wimbo msanii mwingine haruhusiwi kutoa? Hii sheria imeanza liniunasahau ali kiba wana washabiki wengi royal na amekuwepo kitambo kabla ya diamond
ali kiba ndie kamtoa diamond
nipe sababu ya diamond kumuimba ali kiba kwenye fresh, nipe sababu ya yeye kutoa kibao masaa kumi baada ya kiba kutoa? sio uswahili huo? amechemka
sasa hayo ya kumuonea wivu yako, wengi humu wako vizuri kimaisha, usijifanye nabii
Aisee unachuki ww. Sijui kama kwenye maisha yako umewah kufurahi. Na kama ni ke nawaonea huruma wakwe zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Napita tu kukukumbusha kuwa huko Youtube hali ni mbaya..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Kwahiyo hata kiba hampendi afanikiwe sio?Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Huu ni ungese mwingine katika kiwango cha makanikiaKawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
Povu ni nini?Pooovuuu
Kama Mungu ndiye aliye muweka juu hakika mwanadamu hawezi kumshusha,lkn kama wanadamu walimiweka juu hakika Mungu atamshusha tuDiamond tatizo anatukana sana watu mitandaoni.........yaani uwaite watu vinuka chupi halafu hao hao ukitoa mwimbo unataka wakusapoti?....anguko lake limeshafika
Kiba hajawahi kushindana na diamond,anaishi maisha yake,wala hakuna shabiki yake anayemshindanisha na diamond.
Ni vile tu akili za ajabu za wachachache kama wewe,mnaodhani diamond yuko juu,sjui juu ya mti au kichuguu!!!!!,au yeye kuna anayeshindana naye???