Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

ndo maana linyimbo libaya, na hilo neno despacito amelitoa wapi kama sio fix. ali kimba
 
Tunaisubiri kwa hamu tusiokuwa na team
 
Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Usiseme watanza nia sema wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
noja waje
 
Back
Top Bottom