Ali kiba jifunze namna ya kupromote wasanii wako

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Wasanii wako ni wachanga sana, unatoaje wimbo wako siku 1 baada ya kutoa wimbo ya msaani wako?
Kinachotokea watu wataconcentrate kwenye ngoma yako, Coz we mkubwa kuliko wao....
 
Ushauri mzuri,lakini kwa akiri zake za lasaba B sidhani kama atakuelewa aisee..
 
Wasanii wako ni wachanga sana,unatoaje wimbo wako siku1 baada ya kutoa wimbo ya msaani wako?
Kinachotokea watu wataconcentrate kwenye ngoma yako,,coz we mkubwa kuliko wao....
Amemuwai darasa mkuu
 
Sipendi show offs, Ni issue Private, mimi nafanya muziki wangu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]


Ndo majibu yake hayo Mkuu hiyo KINGI wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…