Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemuwai darasa mkuuWasanii wako ni wachanga sana,unatoaje wimbo wako siku1 baada ya kutoa wimbo ya msaani wako?
Kinachotokea watu wataconcentrate kwenye ngoma yako,,coz we mkubwa kuliko wao....
HahaaAtaishia kukwambia tu hizo ni DUA sijui nini.
YOOOOOOOOOOOO
Na huwa hapendagi show offAlikiba akitoa nyimbo huwa inajipromote yenyewe YouTube
Na mkataba tumefunga yenyewe huko itajipromoteNa huwa hapendagi show off