Ali kiba kajiandae vs Diamond kokoro

Ww unaejua kuhusu mziki una single ngapi au unaropokwa tu.....kila mtu na mtazamo wake so ukiona mtazamo wng haujaupenda pita iv
We mi sijasema najua mziki ila naufuatilia,acha kuniletea porojo,nimekwambia ww ulete yako maana umesema kiba hajui labda ww ndo unajua tupe yako mgonjwa ww
 
Ww unaejua kuhusu mziki una single ngapi au unaropokwa tu.....kila mtu na mtazamo wake so ukiona mtazamo wng haujaupenda pita iv
Acha kudandia bas kwa mbele ww,itakukost ohoo,ujuaji mwingi kichwani sifuri tu,chek hta id yako ya kishamba shamba tu,ungekuwa msomi usingeandika upuuz wako hpa
 
Diamond sijui anaimba vitu gani siku hizi..

Nyimbo zake ni tungo za kufanana na matusi tu!

Tangu atoe ule wimbo unaelezea maisha yake mara atakapifilisika hakuwahi kutoa wimbo wenye nidhamu tena!

Sijui labda ndio soko linavyotaka!
Iv make me sing nayo wametukana mule. Ebu nikumbush m nmesahau
 
Acha kudandia bas kwa mbele ww,itakukost ohoo,ujuaji mwingi kichwani sifuri tu,chek hta id yako ya kishamba shamba tu,ungekuwa msomi usingeandika upuuz wako hpa
Kiba ni kama mrudiaji wa darasa la saba afu anaingia class anakutana na kichwa cha darasa ambacho ni fresh hakijarudia so ni full kutiwa aibu
 
Nimekuwekea msisitizo kwenye homa kila za ww ili kama hujui ujue...hata siku ukiambiwa taja wasanii watatu basis urud kwenye Uzi na uchukue moment yangu kama reference SWA ww kiaz pori.
 
Nikijibu watu watashindwa kuelewa Nani Mwehu kati yako na Mimi so umeahinda bro sijui sista.
 
Nikijibu watu watashindwa kuelewa Nani Mwehu kati yako na Mimi so umeahinda bro sijui sista.
Ulishajibu hapo kwani ulibofya "reply" ndio ukaandika.Halafu tupunguze ushabiki tuangalie na hali halisi inavyoenda.
 
Nimekuwekea msisitizo kwenye homa kila za ww ili kama hujui ujue...hata siku ukiambiwa taja wasanii watatu basis urud kwenye Uzi na uchukue moment yangu kama reference SWA ww kiaz pori.
Sasa mimi na wewe ni nani aliyekuwa anazungumza kuhusu mada,angalia nilichoeleza kwanini nani ni bora na ni kwanini (rejea) Kuhusu u'kiazi au nini achana na mapishi onesha nani ni bora na kwa vigezo vipi na sio kukata mauno ya fikra
 
mkali wa uandishi kwa waimbaji kizazi kipya ni Barnaba Boy

vocal steve rnb na Ali Kiba
 
Huwezi kuwachanganya wala kuwalinganisha kwakua Diamond amewakilisha ushairi wa kimapokeo .Ali amewakilisha ushairi wa usasa.
 
Huwezi kuwachanganya wala kuwalinganisha kwakua Diamond amewakilisha ushairi wa kimapokeo .Ali amewakilisha ushairi wa usasa.
Hivi maana ya wimbo ni nini? Tukiachana na hilo ilibidi umwambie mleta mada kuhusu hilo na mimi nikasema nani yupo vizuri na kwanini.
 
well said mkuu umenisaidia kusema the same words comes from my mind
 
Mwanaume mwenye kujielewa hawezi kushabikia ugomvi wa wanaume wenzie eti flani yupo juu yule yupochini,anayasema hayo mfukoni hana hata mia wenzie wanaingiza pesa ujinga mtupu mwanaume mzima mikono imekushupaa kuandika msg coment eti kiba hawezi tunga nyimbo yako basi tuiskie sio unaongea ujinga tuwape moyo wasanii wetu kuimba nikipaji sio kila mtu anacho acheni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…