Ali kiba kajiandae vs Diamond kokoro

Ali kiba kajiandae vs Diamond kokoro

ALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA

,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me Niliuza Jana ili tupate pesa ,
Kwanza Uvae Upendeze Na tabasamu upate uhai kwangu mimi kwenye ubini wako,

Mshahara Bado Mashaka Kazini Sijalipwa Liwezekanalo leo Lisingoje kesho,
WE NDO RAHA YANGU NA ME NDO RAHA YAKO
MENEJA WA ROHO YANGU me KAJIANDAE


DIAMOND
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh

Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
yayaaaiya
Yebaaaaa

Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa


Duuu ALI KIBA ATABAKI KING TUU
Tukiacha ushabiki katika uandishi wa mashairi Diamond yupo vizuri ila kama tutabaki tu kung'ang'ani u'king tu basi tukumbuke siku zote mfalme nyani atabaki kuwa mfalme kwa nyani wenzake tu.
 
Me binafsi hawa jamaa wote wapo talented ila wazidiana vitu vichache tu kama Sauti..in short nawakubali kwa kazi zao
 
Watu wafasihi watusaidie hapoo msilete ujanjaujanja tu...!!
Mtoa mada ameandika beti zao wote wawili akiwa na lengo tuangalie yupi amefanya nini?
Sasa bendera naona zinafuata upepo tu baada ya kuchambua
 

Diamond Platnumz
"Ukimwona"
Verse 1
Mmmm Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sina budi nielewe
Siwezi kun’gan’gania mana sio fungu langu
Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe
Ooh ila mpe shukrani kwa kuniumiza Surayaa
Mwambie mi bado maututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani mwambie mapenzi mabayaa
Tangali hai kairuki singetibu ugonjwa wangu
Chorus
Kutwa nzima moyo unanidundadunda (dunda )sina mali nasaka rumba(rumba)
Haa unidundadunda sema chineti wee moyoo
Unanidundadunda (mami moyoo)sina mali nasaka rumba(ohoo mimi) na
Unanidundadunda eeeh ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Verse 2
Maneno wamwambia marafiki marafiki wabaya
Tena wengi waongo wala wasimdanganyee
Ooh yani mashoga rafiki oh marafiki wabayaaa ooh mmmh
Tatizo mi bado nilipoteleza nikakosa sipajui
Mpaka akafunga virago na akaamua kuondoka sitambui
Ubaya kinachoniumiza maneno neno maneno
Mara wandugu rafiki kwa nini anawapa misemo
Najaribu papasa mbona kwa macho hata huna chochote
Ila ndo kutwa mikasa na ninazidi kuanguka niokote
Chorus
Kutwa nzima moyo unanidundadunda (dunda )sina mali nasaka rumba(rumba)
Haa unidundadunda sema chineti wee moyoo
Unanidundadunda (mami moyoo) sina mali nasaka rumba(ohoo mimi) na
Unanidundadunda eeeh ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
 
Watu wafasihi watusaidie hapoo msilete ujanjaujanja tu...!!
Mtoa mada ameandika beti zao wote wawili akiwa na lengo tuangalie yupi amefanya nini?
Sasa bendera naona zinafuata upepo tu baada ya kuchambua
Huyo mtoa mada mwenyewe ameonyesha yupo upande upi ila diamomd ametumia vina kama vya "-re" mfano kwenye maneno kama tetere,tembere,segere na ngedere pia ametumia vina vya "-ni" katika maneno kama tafrani na mnadani sio hivyo tu ametumia takriri kama ukiangalia ametumia neno "anadodoa" zaidi ya mara moja (sina uhakika kama anadodoa nilijua anadonoa).La mwisho pia ukiangalia upangaji wake wa beti umelifanya liweze kuimbika vizuri (ingawa kuna watu wanasema shairi(wimbo) sio lazima liimbike ili mradi tu liweze kuleta maana.Hivyo kwa upande wangu naona hapo diamond amemzidi mwenzake katika uandishi.(bila mapenzi ya ushabiki)
 
I love both Alikiba and Diamond, kwanza wanawakilisha nchi yangu vema lakini pia wanawakilisha mkoa wangu wa Kigoma vizuri pia
Kuhusu kuwakilisha mkoa wako wa kigoma ni kweli wote wawili wanawakilisha lakini linapokuja suala la nchi ni mmoja tu ndie anaewakilisha uyo mwingine anawapa sifa mbaya watu wa kigoma
 
Acheni usengelema kwani anachoimba diamond kina maana gani na alichoimba kiba kina maana gani kokoro ndio lugha gani?
Tunaangalia jinsi mashairi yalivochorwa kwa hiyo maswala ya kuleta maana utajua mwenyewe lkn kama unafatilia mziki ayo mashairi yote yana maana
 
aina ya mziki anaofanya haitaji vina nenda kamsilikize R.Kelly kama ana vina kwenye nyimbo zake

Huyo mwingine mjanja mjanja ndio lazima aweke vina kama anafanya hip hop kwa sababu analazimisha vitu.
Ulichokiandika unakijua au umeropoka tu ilimradi na ww uchangie mada
 
aina ya mziki anaofanya haitaji vina nenda kamsilikize R.Kelly kama ana vina kwenye nyimbo zake

Huyo mwingine mjanja mjanja ndio lazima aweke vina kama anafanya hip hop kwa sababu analazimisha vitu.
Angalia haya mashairi kama hayana vina
Wimbo storm is over by r Kelly

The Storm Is Over Now"

I was in a tunnel
And couldn't see the light
And whenever I'd look up
I couldn't see the sky
Sometimes when I'm standin'
It seems like I done walked for miles
And my heart could be cryin'
Dead in the middle of a smile

But then I climbed the hills
And saw the mountains
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
Heard a small voice sayin'

The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Come on and set me free, whoa

Now in the midst of my battle
All hope was gone
Downtown in a rushed crowd
And felt all alone
And every now and then
I felt like I would lose my mind
I've been racin' for years
And still no finish line, oh

But then I climbed the hills
And saw the mountains (Mountains)
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
And then a small voice sayin'

The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)

Come on and set me free

Somehow my beginning stepped right in (Right in)
Then faith became my friend (My friend)
And now I can depend
On the voices of the wind
When it's sayin' (Sayin')

The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)

Won't you come and set me free
Won't you set me free

The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Won't you come and set me free
 
Diamond- Kamwambie
Nenda kamwambie
Jinsi navyo mpenda mi
Na kama mapenzi bado
Mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwa HBmbie
Jinsi navyo mpenda mi
Na kama mapenzi bado
Mwambie ntayaongeza mi
Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi
Kwa vile mali yake yeye
Natamani la tatizo siwezi
Uenda ingefanya nielewe
Si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie
Akianidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri nimwimbie
So asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
Akalishusa tamani penzi nalompenda, kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia, eeh
Repeat Nasema siku hizi hakuna fungate, mapenzi hyana tamani
Hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi watamani
Uuuh, wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea
Mmh, nenda mwambie ajihadhari, na dua njema nawombea
So asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
“Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia, eeh— Diamond
Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia, eeh
Akamwambie Repeat till fade
Yeah, I was being around, but thanks, Bob Junior
Mr Chocolate Flava, now I am here
Sharoboo records
It's Diamond Platinumz baby

Alikiba-Cinderela
Verse 1
Mara ya mwisho mimi na wewe
Kuonana kipindi kile twasoma
Shule ya msingi kigoma
Najua ulinipenda
Ila hukutaka penzi kulilinda
Ungesema mapema
Iliniuma sana
Mimi leo niko Dar
Aliniyenipenda nishamuoa
Je wataka kumjua jina?
Aitwa Cinderella
Rudi home wewe
Rudi nyumbani
Wasalimie Kigoma
Waambie nishaoa
Chorus
Ulinitesa sana
Sababu nilikupenda wajua
Kijijini kwa bibi Kigoma
Iliniuma sana
Mimi leo niko Dar
Aliniyenipenda nishamuoa
Je wataka kumjua jina?
Aitwa Cinderella
Rudi home ww
Rudi nyumbani
Wasalimie Kigoma
Waambie nishaoa
Verse 2
Hakuna ajuae rangi ya kinyonga
Zaidi ya yeye mwenyewe na muumba
Nami nakujua wewe huwezi ringa
Baby baby
Nakuona u mnyonge sana
Nami nilikuwa hivyo kule kigoma
Usilie kwa uchungu bwana
Imekutachi sana
Mimi leo niko Dar
Aliniyenipenda nishamuoa
Je wataka kumjua jina?
Aitwa Cinderella
Rudi home wewe
Rudi nyumbani
Wasalimie Kigoma
Waambie nishaoa
Repeat Chorus
Verse 3
Uliniadi mapenzi ni kweli uliniteka
Kadri siku zilivyozidi baby
ukanitesa
Mami mara uko bize mami
Mi mshamba wa mapenzi
Si ndo wakashare nami
Kila ninapokuona, ninapokuona
Moyo unazima nakumbuka tu Kigoma
Nakosa raha mwenyewe si unaniona
Ila Cinderella kapoza moyo kuchoma
Mmmh! Mi nachoka haki ya mungu
Inga(wa) ni gani kiasi baby najua
machungu
Ningetaka kuwa nawe
Ningetaka kuwa nawe
Ningetaka kuishi nawe
Ila tu mm nimeshabaini
Hiyo ni true mami
Nishampata mwingine ambaye
anayenifaa
Repeat Chorus
 
Hiyo mistari ya Ali Kiba unasikiliza hata ukiwa na wazee,huyo mwingine hakuna kitu aibu tupu.

Na hii inadhihirisha kiwango cha busara baina yao.
Period
Hao wazee kuna nyimbo za Sikinde "Ngoma ya ukae" pia DDC Mlimani zinawafaa sana tutawapa wasikilize ila hapo ukiangalia kiuandishi Diamomd ameonekana yupo vizuri zaidi ya Kiba ila mkijifanya hamuoni na hamuelewi na sisi tunajifanya tunaona na kuelewa yetu.Kuna nyimbo kama Nitarejea,Mbagala nk unaweza ukasikiliza na wazee pia
kuna shairi linaitwa "Mfereji Maringo" limeandikwa na Theobald Mvungi katika kitabu cha Chungu Tamu na wanafundishwa wanafunzi mashuleni na wazee hao hao wanasahihisha mitihani.
[HASHTAG]#kwanianjematu[/HASHTAG]
 
WIFE WA DUNIA LYRICS BY ALI KIBA
Language : Swahili
Verse1
mwanzo nilikuona,
sijui nilikuona na nani eeh
Kwani najitahidi, niwe na wewe yah we
Kama ni ujanja ,
mwenyewe unajua me sina
(Wololox3) zile porojo zangu zinapopona si lazima
Yaani nikikuona me aah ,
kichwa kinaniuma
Ata mwili wangu ooh
Aah yawe eeh ,
Verse2
macho yangu yametoa machozi sana,
lakini moyo wangu una furaha,
ya kukuona,wewe kila siku,
kila siku iendayo kwa mungu,
Ona machozi yatoka eeh,
bila ata kuyavuta
(Refrain)
(Nakupenda wewe ,
nakufikiria wewe
lini nitakuwa na wewe)x2
Mimi nakupenda wewe ,
wife wa dunia nakupenda
verse3
huku nagumana,
rumba napiga na nani moyo wangu
naona picha ata kama siwezi soma
navuta hisia aah nalia kwani inaniuma sana
moyo wangu unaumia kwani inaniuma sana
ooh me nakupenda sana ila wewe hujui kabisa
(na moyo (unangojax2) ,
lakini najua hautakuja
Na bado naamini ,
utakuja uwe nami kimaisha)x4
 
Back
Top Bottom