Ali kiba kama Man u vile.....

Tumeongea tumechoka mwisho wa siku tunaonekana kama tuna ama chuki au gubu. Kinachosikitisha watu ambao wanaweza ongea ukweli na ujumbe ukamfikia kama akina Mange Kimambi ndiyo wanampamba tu na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa hivi wanamtakia mema kweli?
Siyo lazima wapost hadharani wampigie hata simu basi ili awasikie.
 
Ahahahahahahahah acha kufananisha man u na team za ajabu kama coast
 
Ulivyoogusia kurudisha bifu ndiyo umejidhihiriaha ulivyo na agenda ya siri! Hater!

Hivi kwanini Kiba akitoa wimbo thread huwa hazikauki humu? Wasanii wanatoa nyimbo kila kukicha hatuoni chuki ya namna hii, why Kiba?

Hata kama ameishiwa, sijui anacheza mpira inakupunguzia nini kwenye maisha yako ya kila siku? Kama ulikua fan wake na sasa anakudisappoint kwanini ulielie? Wasanii wapo kibao wanafanya vizuri, shabikia hao!
 
Tukiweka unafiki pembeni japo mimi sio mdau sana wa muziki ila hii nyimbo imekamilika kila idara kuanzia utunzi manzari ya ki mwonekano mpaka code (uvaaji) na uimbaji
Kwa wale wanao penda makelele ya mziki mtu anaimba mradi imetoka mdomoni huu hawez kuuelewa ila kwa watu smart hii inawafaa leo nilikua ofisi moja kuna jamaa tena sio mtz alikua ana ichek youtube namimi nilivyo rudi shop nika jaribu ghafla nika ielewa

Ila hili taifa huru kila mtu ana chaguzi zake kwa kinacho mfurahisha
Sisi watu wa kaskazini tunapenda rege na hiphop zile za kubum kubam[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kawapiga support hao madogo.
Mbona akisimama mond kwenye ngoma za kitoto manasema imekaa poa.

Acheni ubaguzi mazee
 
Sijawahigi kuwa shabiki wa huyu jamaa sababu ninakipaji chakupima ubora wa muziki katika wakati huu.
Nashangaagasana wanao mfananisha na diamond, huyu saiziyake ni kina mboso, na akishangaakidogotu atakuwa kama feruzi.
Kha!!!!!!!! Unapenda hustle za mond toka alipotoka mpaka alipo kwa show off.

Hebu nitajie ni msanii gani mwingine unayemshabikia kwasababu ya kujua kuimba tu?
 
Wewe jamaa unaonekana upo vizuri kwenye hii industry jaribu kuokota wasanii wawili watatu uwamanage uwatoe itakulipa zaidi
 
Alikiba ni mzigo wa mavi habebeki clouds naona wameamua kumpiga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…