Halafu bado anajiona kama ana hadhi fulani..!Kiba alishiriki one 8 ya R.Kelly mwaka 2009, kipindi ambacho mondi bado ananyonya, lakini sababu ya ukichwa ngumu wake kabaki kuwa wa mchangani tu..
wasingekaa wanamzungumzia kiba 24hrs maana wangekosa muda.Ukiwa team kiba Ni presha tu
Wale wcb wanajua wanachokifanya, yaani mashabiki wao Ni burudani tu
Kiba pia anaponzwa na mashabiki upupu kama wewe!bila shaka unamlipia bili ya maji na umeme alipopanga sio!!!
kiba kakuzidi maisha wewe,acha mawazo yaliyofifia na ya kichawi.
sasa wewe unampa faida gani kwa kuponda kila anachofanya?uchawi ujanani.Kiba pia anaponzwa na mashabiki upupu kama wewe!
sasa kama unampenda msanii wako na mziki wake,inakuwaje unahangaika na msanii mwingine usiyempenda!,muache anamashabiki wake na wapenzi wake kama mimi hapa.Unajua tofauti kati yangu na yako ni nini..?
Mimi ni kipenzi wa muziki na mwanamuziki, wewe ni Shabiki