Ali Kiba kama timu ya Arsenal, presha kila siku

Ali Kiba kama timu ya Arsenal, presha kila siku

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Huyu bwana ana maajabu yake kiufupi hajitambui

1. Anatambulisha msanii mpya wakati wale wa zamani hawajulikani na % kubwa ya wananchi wao wenyewe hadi nyimbo zao
.
2. Anatambulisha msanii mpya siku hiyo hiyo anatoa nyimbo mpya maana yake anampoteza mazima.

3. Anatunga nyimbo lakini haitoki mpaka ipitishwe na mama kwanza.

4. Anaendesha recording label wakati hana studio, na iko very disorganised.

5. Hawezi kushiriki show za wasanii wenzake coz anajenga na kutafuta mafanikio yake..m

Embu ongeza yako.
 
Hii nayo inaweza kuwa ni njia ya promo kwa huyo bwana mdogo but nasema but kwa mazingira mepesi huyo dogo analazimisha game ili asionekane zero.

Kuna mmama flani hivi anajitahidi sana kumpush kupitia wana walio karibu naye ila nothing.
 
Kiba alishiriki one 8 ya R.Kelly mwaka 2009, kipindi ambacho mondi bado ananyonya, lakini sababu ya ukichwa ngumu wake kabaki kuwa wa mchangani tu..
Halafu bado anajiona kama ana hadhi fulani..!

Mtu unategemea mziki kama chanzo chako kikuu cha kipato halafu hautaki kuendana na mazingira.! ni ujuha

Nilikua namkubali lakini ni heri wanavyompiku ili mazwazwa kama yeye wajute na kujifunza

Akitaka tumkubali kama ana misimamo ya kimaadili akaimbe Qaswida awache upuuzi

Hii tabia ya kuwa Moto tena baridi atatemwa mda sio mrefu na kufyonzwa na ardhi na tutamsahau

Ushauri wangu kwake_ajifunze siasa ya mziki, kama kweli ana Nia ya kuutegemea kwa kipato
 
ManchoG,
bila shaka unamlipia bili ya maji na umeme alipopanga sio!!!

kiba kakuzidi maisha wewe,acha mawazo yaliyofifia na ya kichawi.
 
Kifupi Kiba hajitambui na hatambui thaman yake! Anajua mziki ila hajui jinsi ya kuendana na game!! Afu anatumia mda mwingi sana kwenye malumbano yasiyo na maana kwake!
Nahisi ipo siku atautangazia umma kuwa kaacha mziki na anahamia msikitini.
 
Ukiwa team kiba Ni presha tu
Wale wcb wanajua wanachokifanya, yaani mashabiki wao Ni burudani tu
wasingekaa wanamzungumzia kiba 24hrs maana wangekosa muda.

sasa sijajua shida ni nini!!
 
alisema anastaafu mziki.. Christian Bela akajibu.. kiba lzm astaafu mziki sababu hajui nini mashabiki wake wanataka.. Kiba anazingua anaalikwa wasafi festival badala akubali kwa ela ndefu ETI analeta habari za kuibiwa penseli.. KIBA DISASTER SANA
 
alisema anastaafu mziki.. Christian Bela akajibu.. kiba lzm astaafu mziki sababu hajui nini mashabiki wake wanataka.. Kiba anazingua anaalikwa wasafi festival badala akubali kwa ela ndefu ETI analeta habari za kuibiwa penseli.. KIBA DISASTER SANA
 
alisema anastaafu mziki.. Christian Bela akajibu.. kiba lzm astaafu mziki sababu hajui nini mashabiki wake wanataka.. Kiba anazingua anaalikwa wasafi festival badala akubali kwa ela ndefu ETI analeta habari za kuibiwa penseli.. KIBA DISASTER SANA
 
ManchoG,
bila shaka unamlipia bili ya maji na umeme alipopanga sio!!!

kiba kakuzidi maisha wewe,acha mawazo yaliyofifia na ya kichawi.
Unajua tofauti kati yangu na yako ni nini..?

Mimi ni kipenzi wa muziki na mwanamuziki, wewe ni Shabiki
 
Unajua tofauti kati yangu na yako ni nini..?

Mimi ni kipenzi wa muziki na mwanamuziki, wewe ni Shabiki
sasa kama unampenda msanii wako na mziki wake,inakuwaje unahangaika na msanii mwingine usiyempenda!,muache anamashabiki wake na wapenzi wake kama mimi hapa.

wewe ukiona kiba anakosea sababu mond anafanya hivi,mwingine ataona mond anakosea sababu davido anafanya vile nk.

labda kinachowakera ni kuona kiba ni mvivu sana lakini bado anakaa midomoni mwa watu,sijui?
 
Back
Top Bottom