Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Ali Kiba ni staa kwenye muziki wa Bongo Fleva.. kama wewe ni mtumiaji wa Instagram utakuwa umeona kwamba Ali Kiba haja-follow mtu yoyote ukitembelea mitandao ya kijamii ya Ali Kiba utaona ya kuwa ana mashabiki wengi wanaomfuatilia kupitia mitandao hiyo.

Katika post ya Instagram kwenye page ya Mseto East Africa ambao walikaa na kuongea na Ali Kiba na kumuuliza swali hilo, majibu yake ni haya hapa


"
Yea si follow mtu kwasababu, kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina TUVA kuna watu kibao lakini watu wa Media ndio tuko nao karibu,sasa wengine walikua waki complain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri ni si follow mtu na vile vile nilipenda ivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja ili niweze ku concetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wanani advice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao,kuna wengine wananipa challenge kuna matusi uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani,wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha"




Kutoka kwenye michango ya wadau wanaojua umuhimu wa network katika biashara
Huyu dogo mi nimeshaishiwa la kumshauri. Nimesema yoteee.

Ni wa kuacha tu, maana HAMNA NAMNA. Tumechoka.

Utter nonsense ,ningekuwa nimemfollow kiba mara moja ningemu_unfollow,in a maana wanaom follow ni wapumbavu?


Hopeless...
Chris Brown mwenyew anawa'follow watu ina maan han akil au sio maarufu zaid ya huyu!!!

Diamond kafollow wasanii wengi sana wa Tanzania management yke yote kafollow, wasanii wa East Africa na africa kiujumla Ma Presenter . Anapata updates za nini kinaendelea wenzake wanafanya nn hiyo ndio akili kubwa.



Majibu ya ajabu na yasiyokuwa na maana. Anajisikia na kunata sana huyu jamaa. Ndo maana anaishia kuwa levels za barnaba.
Na hao fans wake wajinga sana.

Unapo jiona bora kuliko mwenzako ndipo mwanzo wa kuwa na kiburi,dharau na jeuri na hicho ndio anacho kifanya huyu alikiba asipo badilika atakuwa msanii wa ndondo miaka yote
 
Majibu ya kisomi kabisa utadhani profesa wa Oxford au Cambridge University ndo kajibu, lakini angekuwa yule jirani yetu ungesikia sijui ambaye sijamfolow akale ndimu yan full majibu ya kiswahili.

Asante mfalme Kiba.
#Rockstar4000

Teh Teh heti profesa wa oxford..
 
Chris Brown mwenyew anawa'follow watu ina maan han akil au sio maarufu zaid ya huyu!!!
 
Hyo ni mistake ambayo kiba kafanya na awezi ikubali ni kuto Kufollow hata msanii mwenzake ths Y hawampi promo kiviile. Et ili a concentrate kwa fans wake did tht make sense? How? anareply comments za fans au ni kuwa karibu kivipi.
 
Utter nonsense ,ningekuwa nimemfollow kiba mara moja ningemu_unfollow,in a maana wanaom follow ni wapumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…