Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Diamond akiimba live, utacheka ufe, kwanza utadhani ni diamond wa kichina

wcb live ni rayvanny tu...
 
Diamond akiimba live, utacheka ufe, kwanza utadhani ni diamond wa kichina

wcb live ni rayvanny tu...
Kabisa mzee jamaa ana sauti kavu kwa studio ni TECNOLOGY tu inambeba afu hawa vijambio wanataka watuaminishe upuuzi wao hapa...huyo jamaa yao ukimsimamisha na BELLE 9 tu kwa maana ya uimbaji kwenye NEUTRAL GROUND atazomewa hadi afe.
 
Haya na WEWE MPAISHE BASHA WAKO mvaa vikuku...KIBA ANAWAUMA SANA kama jamaa yenu anaweza mlinganisheni na kina WIZKID huko kila siku comparison ni KIBA huku mnaponda hawez what a https://jamii.app/JFUserGuide[emoji45]
 
Katumia akili ila mm sio mwanachama wake #maendeleo_hayana_chama
 
Kabisa mzee jamaa ana sauti kavu kwa studio ni TECNOLOGY tu inambeba afu hawa vijambio wanataka watuaminishe upuuzi wao hapa...huyo jamaa yao ukimsimamisha na BELLE 9 tu kwa maana ya uimbaji kwenye NEUTRAL GROUND atazomewa hadi afe.

Jamaa wameoza, tuna vitu ambavyo havikutakiwa kupendwa kabisa na mtanzania navyo ni

1.CCM
2.Diamond
3.Uvivu

Diamond anasema yeye ni sukari ya warembo, halafu janaume na suruali zake anampenda!!!!!!!!!
 
Hahahahaaaaaaaa hatari atakuwa MREMBO TU anaitetea sukari yake.
Jamaa wameoza, tuna vitu ambavyo havikutakiwa kupendwa kabisa na mtanzania navyo ni

1.CCM
2.Diamond
3.Uvivu

Diamond anasema yeye ni sukari ya warembo, halafu janaume na suruali zake anampenda!!!!!!!!!
 
Waberoya playboy babu na team kiba mnachojuaga nyie kutukana tu hamna la zaidi maana point hamna sibishani na watoto ambao bado wanapiga puchu..hahahah ukweli lazima ujitenge na uongo habari mnazo..nina kazi nyingi za kufanya zaidi ya kukaa kutukanana na wasiojielewa duniani
 
tusi langu lipi?

acha kuzira bana,diamond kazira mpaka watoto
 
duh mbona mmemshambulia kiba? si kafanya kama beyonce ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…