Ali Kiba katika kampeni za CCM Mtwara leo

Sawa kedrick tuishie hapo hayo mengine tuyaache mana unaniuliza upuuzi tu
 
Last edited by a moderator:
kedrick acha utoto kiba atabaki kuwa kiba tuu hawezi fanana na yule gasho wa tandale

Watanzani tupo zaidi ya millon 45 nahakuna anayefanana na mwenzake,sasa wewe unataka diamond afanane na kiba kivipi?? Ofcoz hawafanani na hawatakaa waje wafanane,Diamomd always ni AKILI KUBWAAAA, ndio msani pekee nayeonesha wengine what to do and how to do it, mfano mzuri hili swala la siasa,mpaka kiba alivyoona mwenzake anapiga pesa ndio nae akaanza, daima kiba ni wakufuata nyao za diamond.
 
Last edited by a moderator:
kedrick huna jipya ww kiba anapiga tu show sio yule ---- anapiga campaign ccm tuichague na aliwaita mashabiki kabla ya kufanya hivyo wakamruhusu apige show maana ngoja niishie hapo nsitoe siri za kambi ila unazingua sana boy changes

Hahahahahaa sio kwa kuvurugwa huko, inst kwenye page ya kiba hajamkampenia magufuli?? Au kukampeni ni kufanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Sawa tumekisikia ila sio kwa upande wa watoto nakuchukua wamaza wa watoto watatu karibu k.koo
 
Sawa tumekisikia ila sio kwa upande wa watoto nakuchukua wamaza wa watoto watatu karibu k.koo

Tena usithubutu kuongelea maisha ya kingono ya hawa watu, manake u will find kiba he is worse over diamond, Hivi kiba anawatoto wangapi tena?? Mama wa hao watoto unawajua? Kila mtoto na mama yake?? And none of the above anayeishi nae sasa yupo na jojo X wa nani tena? Sasa unawafuu wake upo wapi? Mimi kama mwanamke ukiniuliza nichague wa kunioa nitamchagua diamond kwa sababu kwanza yupo makini anavaa viatu uwanjani. Alafu jua dimond ni mjanja alijua zari kakomaa akili na anaakili kubwa kama yeye ndio maana akaamua kuzaa nae, sipati picha angekuwa amezaa na akina flani waliostuck kwenye 26 yrs.
 
Halafu wew kedrick kiba hajampigia kampen maguful insta.
Pale aliandika #raisi wangu ni magufuli nazani unaelewa maana ya ile reli.
Maana yake waione pia wale ambao raisi wao ni maguful.
Hamna mahali alipomhamasisha mtu ampigie kura maguful
 
Last edited by a moderator:
Naombeni picha ya kiba akiwa jukwaani akitumbuiza kama hamna sioni haja ya kuanzisha thread halafu huna hizo picha.
Kama vipi zilete huna funga mdomo maana ni muda wa kwenda kwa fact tuu
 

Nimekupenda bure nipm pls
 
Naombeni picha ya kiba akiwa jukwaani akitumbuiza kama hamna sioni haja ya kuanzisha thread halafu huna hizo picha.
Kama vipi zilete huna funga mdomo maana ni muda wa kwenda kwa fact tuu

Aliku anaimba school baby halo aya chekecha pwilo nifah
 

Attachments

  • 1441521131437.jpg
    10.5 KB · Views: 193
Last edited by a moderator:

Mmmmh umenikosha akili kubwa cheers 🍻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…