Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kedrick acha utoto kiba atabaki kuwa kiba tuu hawezi fanana na yule gasho wa tandale
kedrick huna jipya ww kiba anapiga tu show sio yule ---- anapiga campaign ccm tuichague na aliwaita mashabiki kabla ya kufanya hivyo wakamruhusu apige show maana ngoja niishie hapo nsitoe siri za kambi ila unazingua sana boy changes
Sawa tumekisikia ila sio kwa upande wa watoto nakuchukua wamaza wa watoto watatu karibu k.kooWatanzani tupo zaidi ya millon 45 nahakuna anayefanana na mwenzake,sasa wewe unataka diamond afanane na kiba kivipi?? Ofcoz hawafanani na hawatakaa waje wafanane,Diamomd always ni AKILI KUBWAAAA, ndio msani pekee nayeonesha wengine what to do and how to do it, mfano mzuri hili swala la siasa,mpaka kiba alivyoona mwenzake anapiga pesa ndio nae akaanza, daima kiba ni wakufuata nyao za diamond.
Sawa kwani nimekataaHahahahahaa sio kwa kuvurugwa huko, inst kwenye page ya kiba hajamkampenia magufuli?? Au kukampeni ni kufanyaje?
Sawa tumekisikia ila sio kwa upande wa watoto nakuchukua wamaza wa watoto watatu karibu k.koo
Tena usithubutu kuongelea maisha ya kingono ya hawa watu, manake u will find kiba he is worse over diamond, Hivi kiba anawatoto wangapi tena?? Mama wa hao watoto unawajua? Kila mtoto na mama yake?? And none of the above anayeishi nae sasa yupo na jojo X wa nani tena? Sasa unawafuu wake upo wapi? Mimi kama mwanamke ukiniuliza nichague wa kunioa nitamchagua diamond kwa sababu kwanza yupo makini anavaa viatu uwanjani. Alafu jua dimond ni mjanja alijua zari kakomaa akili na anaakili kubwa kama yeye ndio maana akaamua kuzaa nae, sipati picha angekuwa amezaa na akina flani waliostuck kwenye 26 yrs.