Ali Kiba katika kampeni za CCM Mtwara leo

Ali Kiba katika kampeni za CCM Mtwara leo

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
King kiba ameweza Leo kufanya shoo ya kampeni uko mtwara na kukata mauno vilivyo wakati anaimba wimbo wa chekecha na kuwa furahisha ccm na bwana Magufuli hasa kwa ule wimbo wake wa kimasomaso na school baby 🙅🙅🙅🙅🙅🙅
Cc pwilo nifah
 
Last edited by a moderator:
nifah eti ya kweli haya?
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli picha ingetangulia kwa mbwembwe
 
Kama kweli picha ingetangulia kwa mbwembwe
uploadfromtaptalk1441231372233.png
 
Haya wale watoa pongezi karibuni mumpongeze tena nifah
 
Last edited by a moderator:
Kuna yofauti ya kwenda kupiga show na kufanya kampeni
Msaga sumu amepiga show kwenye uzinduzi wa ukawa na pia anapiga show kwenye kampeni za ccm
Hii ndio kazi yao, inshu hapa ni pale wasanii wanapoamua kujiingiza direct kwa kumpigia kampen mgombea, mimi sidhan km ni sawa
 
Team Nyumbu mko wapi?

Wakati Kiba anatimuliwa kwenye nyumba aliyopanga mlijaribu hata kumchangia hata mia.?

Siasa ni maslai, siasa ni maisha, fanya siasa kwa faida hata wanao wafurahi wasome shule nzuri, wavae vizuri kifupi wawe na uhakika wa maisha.

Jana Lowassa kawasisitiza vijana wafanye Kazi kwa bidii maana hakuna maisha rahisi.

Kiba endelea kutafuta maisha sio drama za kwenye mitandao. Piga hela songa mbele maisha ndio hayo.

nifah mrudishie kiba hela alizopewa na ccm ili asipige show zingine.!
 
Last edited by a moderator:
Kunamtu alitaka hata kunipiga humu akisema ali kibba kakataa millioni 120 za ccm hvi kwanjaa hii ya tanzania alikiba hanaubavu huo
 
kedrick acha utoto kiba atabaki kuwa kiba tuu hawezi fanana na yule gasho wa tandale
 
Last edited by a moderator:
kedrick huna jipya ww kiba anapiga tu show sio yule ---- anapiga campaign ccm tuichague na aliwaita mashabiki kabla ya kufanya hivyo wakamruhusu apige show maana ngoja niishie hapo nsitoe siri za kambi ila unazingua sana boy changes
 
Kwan insta kiba c kampigia kampeni magufuli au haukuona
 
Last edited by a moderator:
kedrick huna jipya ww kiba anapiga tu show sio yule ---- anapiga campaign ccm tuichague na aliwaita mashabiki kabla ya kufanya hivyo wakamruhusu apige show maana ngoja niishie hapo nsitoe siri za kambi ila unazingua sana boy changes

Et aliwaita kuwa uliza ww uliitwa mbona nifah hakutoa iyo story ya kiba kuwaita
 
Last edited by a moderator:
Sawa kedrick tuishie hapo hayo mengine tuyaache mana unaniuliza upuuzi tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom