Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
chuki ni dhambi mbaya sana.
Viroba vya asubuhi acha kwanza huwezi fananisha nagharamia iliyo boora dhidi ya wimbo mpya wa diamond acha ushabiki mawese
Viroba vya asubuhi acha kwanza huwezi fananisha nagharamia iliyo boora dhidi ya wimbo mpya wa diamond acha ushabiki mawese
Ile ni sauti yake live sio kama yule wa agha alivyotuabisha coke studio Africa mwaka jana live band hawezi kuimbaHiyo Nagharamia kabana sauti hadi kero... amshukuru Christian Bella.
Gas hii ina sambaa mbali sana yani Carbondioxide jamaa anatoa video kali shabashi jana dar live ni aibu kilichotokea
Mi niache mambo yangu nikaangalie lile domo [emoji2] [emoji2] [emoji2] na sarakasi mi nilipita njia tuulienda kufanya nn si ungeenda escape1 kama sio umbea huo