ALI KIBA Kimziiki kwisha kabisaa!!

ALI KIBA Kimziiki kwisha kabisaa!!

Unaongozwa na hisia tatizo.
Nakushauri achana uzungu tumia lugha fasaha ya Kiswahili udhihirishe Utanzania wako na kujivunia Uafrika wako.
AMKENI_2016
Anza kwanza na Ali K kujiita THE RETURN OF THE KING badala ya kujiita KURUDI KWA MFALME AWAMU NYINGINE.
 
Quality ya video na uandishi wa mashairi ya Kiba katika nagharamia ni wa kiwango cha Ali Nipishe. Shame full up on him.
 
Najua ukweli upo mioyoni mwenu NAGHARAMIA ni habari nyingine jameenii
 
Back
Top Bottom