Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
- Thread starter
- #41
Anza kwanza na Ali K kujiita THE RETURN OF THE KING badala ya kujiita KURUDI KWA MFALME AWAMU NYINGINE.Unaongozwa na hisia tatizo.
Nakushauri achana uzungu tumia lugha fasaha ya Kiswahili udhihirishe Utanzania wako na kujivunia Uafrika wako.
AMKENI_2016