Ali Kiba ktk kampeni za Raila Odinga. Amuimba Wema Sepetu.

Ali kiba bure kabisa hatoi nyimbo ye mauzo mengi kuliko kazi wananikasirisha Mimi wanaomlinganisha Ali kiba na diamond ni sawa na kulinganisha hammer na bajaji havilingani kabisa.
Ww huyo kaenda kutengeneza pesa acha kuneng'eneka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli team mond hawapendi kusikia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli team mond hawapendi kusikia
Nashangaa wanakuja kunitolea povu,Mimi sio team kiba wala mondi,Ila panapo ukweli lazima usemwe,kweli kiba anapiga show jspokuwa nyimbo yenyewe moja tu mwaka mzima,kweli diamond katoa nyimbo tatu zote zimebuma,nilisikiliza Mara ya kwanza sikutamani kurudia tena kusikiliza hadi Leo hii,isipokuwa huwa napenda sana kutazama ile video yake ya I miss you,kwenye kipande komoja kile wanacho dance wakiwa relini,pale wamefanya ubunifu mkubwa sana.
 
Kaacha kutoa aje remix number 3 eti anakwenda kupiga kampeni inchi jilani .. kawapelekea nux tupu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn umesahau hata bongo wasanii wanatumikaga sana kwenye kampeni,kikubwa zaidi mkwanja tu.Tuache chuki zisizo na msingi,mbona hawakualikwa wasanii wengine kutoka bongo? Huoni kuwa ni heshima kubwa kwake kualikwa kwenye tukio kubwa linalohusu taifa jengine hali ya kuwa wao Kenya wanao wasanii wengi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…