me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Anakuboa ww labda ss mbona hatuboiSawa ila anaboa mashabiki wake sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakuboa ww labda ss mbona hatuboiSawa ila anaboa mashabiki wake sasa
Na wewe unasubiri nini kuanza kutembelea Nyota ya Wema Sepetu?!Anatembelea nyota ya Wema Sepetu tu
Ww huyo kaenda kutengeneza pesa acha kuneng'enekaAli kiba bure kabisa hatoi nyimbo ye mauzo mengi kuliko kazi wananikasirisha Mimi wanaomlinganisha Ali kiba na diamond ni sawa na kulinganisha hammer na bajaji havilingani kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli team mond hawapendi kusikiaIla jamaa anapata mialiko mingi sana! Anatengeneza pesa tu! Nyimbo moja mwaka mzima lakini mialiko kila kukicha,Sijui angekuwa na nyimbo kama 3 au 4 zilizo hit ingekuwaje,maana diamond ametoa nyimbo ili mashabiki wamsikie kuwa yupo,lakini hazina radha na zimebuma.Sio kama ile ya Salome au nitampata ambayo huchoki kuzisikiliza.
Nashangaa wanakuja kunitolea povu,Mimi sio team kiba wala mondi,Ila panapo ukweli lazima usemwe,kweli kiba anapiga show jspokuwa nyimbo yenyewe moja tu mwaka mzima,kweli diamond katoa nyimbo tatu zote zimebuma,nilisikiliza Mara ya kwanza sikutamani kurudia tena kusikiliza hadi Leo hii,isipokuwa huwa napenda sana kutazama ile video yake ya I miss you,kwenye kipande komoja kile wanacho dance wakiwa relini,pale wamefanya ubunifu mkubwa sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli team mond hawapendi kusikia
Lkn umesahau hata bongo wasanii wanatumikaga sana kwenye kampeni,kikubwa zaidi mkwanja tu.Tuache chuki zisizo na msingi,mbona hawakualikwa wasanii wengine kutoka bongo? Huoni kuwa ni heshima kubwa kwake kualikwa kwenye tukio kubwa linalohusu taifa jengine hali ya kuwa wao Kenya wanao wasanii wengi tu?Kaacha kutoa aje remix number 3 eti anakwenda kupiga kampeni inchi jilani .. kawapelekea nux tupu .
Sent using Jamii Forums mobile app