Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwezi comment tu bila kumuhusisha Diamond au hutaeleweka kwa watu?Hapa patamu, David is another level, kiba sasa muda wako wa kutoka, ila usimfanyie kama alivyofanyiwa na Diamond. Shukrani ya punda mateke. Diamond baada ya kutoka alimwona David hafai tena. Diamond alivyofanya siyo poa kabisa.
Acha kumlaumu Diamond ww. Huo unajua ulikuwa ni ukenge wa watz ikiwemo na fans wa kiba kama ww kumtukana Davido ili kumwaribia Simba kwa maslahi ya huyo aliyechelewa, hasa wkt ule alipokuwa anaponda kolabo.Hapa patamu, David is another level, kiba sasa muda wako wa kutoka, ila usimfanyie kama alivyofanyiwa na Diamond. Shukrani ya punda mateke. Diamond baada ya kutoka alimwona David hafai tena. Diamond alivyofanya siyo poa kabisa.
Kafanya nini Diamond? ati dadaake shilawaduHapa patamu, David is another level, kiba sasa muda wako wa kutoka, ila usimfanyie kama alivyofanyiwa na Diamond. Shukrani ya punda mateke. Diamond baada ya kutoka alimwona David hafai tena. Diamond alivyofanya siyo poa kabisa.
Acha umbeya bwana.Tunasubiri
Hapa patamu, David is another level, kiba sasa muda wako wa kutoka, ila usimfanyie kama alivyofanyiwa na Diamond. Shukrani ya punda mateke. Diamond baada ya kutoka alimwona David hafai tena. Diamond alivyofanya siyo poa kabisa.
Yaani anamuona kama shit flani,wakati bila David Diamond is nothing.Diamomd alimfanyia nini Davido?
Yaani anamuona kama shit flani,wakati bila David Diamond is nothing.
[emoji15][emoji15][emoji15] duhAcha umbeya bwana.