Ali Kiba kufanya colabo na Davido

Ali Kiba kufanya colabo na Davido

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288

Kwa wapenzi wa Ali Kiba kaa tayari kwa colabo yake na Davido kama inavyoonekana kwenye hiyo video
 
Hapa patamu, David is another level, kiba sasa muda wako wa kutoka, ila usimfanyie kama alivyofanyiwa na Diamond. Shukrani ya punda mateke. Diamond baada ya kutoka alimwona David hafai tena. Diamond alivyofanya siyo poa kabisa.
 
Acha kumlaumu Diamond ww. Huo unajua ulikuwa ni ukenge wa watz ikiwemo na fans wa kiba kama ww kumtukana Davido ili kumwaribia Simba kwa maslahi ya huyo aliyechelewa, hasa wkt ule alipokuwa anaponda kolabo.
 
Kuna vitu wanakosea sana uongozi wa Kiba, kolabo nyingi tunazoambiwa huwa hazitokei. Hivi kolabo yake na Ivone Chachaka wa South Africa imefikia wapi?
 
Bola atowe ili fans wake nasisi tuanze kupiga kelele maana kila tukinwa tunakimbilia kwenye Aje
 
Kiba alisema hawajafanya chochote mpaka sa hivi Ila mpango upo. Alisema ayo juzi xxl clouds fm
 
Hapa patamu, David is another level, kiba sasa muda wako wa kutoka, ila usimfanyie kama alivyofanyiwa na Diamond. Shukrani ya punda mateke. Diamond baada ya kutoka alimwona David hafai tena. Diamond alivyofanya siyo poa kabisa.
Kafanya nini Diamond? ati dadaake shilawadu

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Hapa patamu, David is another level, kiba sasa muda wako wa kutoka, ila usimfanyie kama alivyofanyiwa na Diamond. Shukrani ya punda mateke. Diamond baada ya kutoka alimwona David hafai tena. Diamond alivyofanya siyo poa kabisa.

Diamomd alimfanyia nini Davido?
 
Tumechoshwa na ahadi za kufikirika

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi alivyo, Kwa clip hiyo, kiba ndio keshafanya kolabo tayari..huwa hajielewi hata kidogo!!..
 
Ngoja tuone jinsi Davido atakavyomtoa huyo nani sijui,maana sijawahi kusikia wimbo mzuri kutoka kwake.
 
Yaani anamuona kama shit flani,wakati bila David Diamond is nothing.

Sijaona bado kitu alichofanyiwa Davido na Diamind, kingine siwezi amini kuwa bila Davido kusingekuwa na huyu Diamond tunayemfahamu, Davido alikubali kufanya Colabo na Dimond kwa sababu aliona uwezo wa Diamond, Diamond kutoka kimataifa lilikuwa swala la Muda tu

Na pia Kiba kuimba na Dovido sio ndio kuwa atatoka kimataifa, Kiba alishaimba mpaka na kila RKelly lakini aliishia wapi Kimataifa?

Kuna vitu unique Diamond anavyo, ambavyo Kiba hana, so hawawezi kuwa sawa hata siku moja, na Kiba na Dovido wafanye collabo kwa faida yao, sio kwa lengo la kushindana, kumkomoa au kumwonyesha Diamond
 
Back
Top Bottom