Ali Kiba kutoa tamko rasmi siku moja kabla ya kilele cha Wasafi Festival

Ali Kiba kutoa tamko rasmi siku moja kabla ya kilele cha Wasafi Festival

Wivu tu. Eti Domo. Ohooo eti apendi kunionyesha. Ataonyesha Nini wakati Hana.....,. Alipo pata alituonyesha kitu fire. Baasi vingine Hana. Domo anatuonyesha. TV station Radio FM muziki tunaona. Karanga tunaona.
 
Adjustments.JPG
 
Kiba sidhani kama anafanya Muziki kwasasa na naona anataka ashindane kwa maneno badalaa ya Kazi.
Mwenzake Mondi alihujumiwa na Clouds lakini akaendelea kupambana na kazi Zake zilitoa Majibu sasa yeye kama anahujumiwa na Mondi apambane tu Mondi hawezi kutuzuia kuuona muziki wake Mzuri.
Afanye muziki Mzuri atoe nyimbo kulingana na soko atakua katoa jibu Tosha Kabisa.
 
Neno 💯💯💯💯.
 
Diamond akisema naacha music rasmi, akipata mshindani mzuri au akifa, Ali kiba ndio itakuwa mwisho wake kufuatwa na wanahabari.

Kwa hakika jamaa hana lolote ila ashukuru Mungu hii miaka kasafiria nyota ya Diamond.
Kama Rey enzi za Kanumba
 
Ujinga mtupu yaani huyu jamaaa bwana kila kitu anachokifanya kama kafanya kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom