Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sasa mr ambasada alitakaje? Tubebe mishale mikuki mawe tukamsaidie kulinda tembo au?
Popote ntakapomuone dentist kinanananana ana nchale wa kalio....support yangu kwa prince ally kibaTembo ni wa kwetu wote ikibidi, wenye uwezo wa kufanya hivyo wafanye... au unaonaje??
Kiba kama kaongea haya amekosa hoja kabisa hivi ana hitaji watu wafanye nini? kama kashindwa awambie walio mpa ubalozi kabla hawaja mpora na kumpa 20 parcent!
aaaaaah mkuu 20% tenaa..? K for real mimi nilipenda tu pale aliposema nimechaguliwa na wakina lupita nyong'o na david beckam hahahahaha mwenzake vanessa mdee alitangulia kupata kabla yake lakini hakumpost, j. mengi naona anapiga ubalozi ado ado but nae hajapata support anayoitaka mheshimiwa King......
Ila tuwasupport labda afunguliwe hata thread sticky ya kuwakumbisha wadau ubalozi
Kiba kama kaongea haya amekosa hoja kabisa hivi ana hitaji watu wafanye nini? kama kashindwa awambie walio mpa ubalozi kabla hawaja mpora na kumpa 20 parcent!
Angalia Star tv now!!
Mbona sijakuta hilo?
hii thread imeanzishwa kumkejeli kiba nothing else
jamen tusiandike sana,me kama jiran wa kiba naomba yeyote aandike barua kwa kiba nami taifikisha..?!