Ali Kiba: Kwanini watu wanachukulia poa mimi kuwa Balozi wa WildAid wakati nipo na wakina Beckham?

Ali Kiba: Kwanini watu wanachukulia poa mimi kuwa Balozi wa WildAid wakati nipo na wakina Beckham?

Kiba kama kaongea haya amekosa hoja kabisa hivi ana hitaji watu wafanye nini? kama kashindwa awambie walio mpa ubalozi kabla hawaja mpora na kumpa 20 parcent!
 
Kiba kama kaongea haya amekosa hoja kabisa hivi ana hitaji watu wafanye nini? kama kashindwa awambie walio mpa ubalozi kabla hawaja mpora na kumpa 20 parcent!

aaaaaah mkuu 20% tenaa..? K for real mimi nilipenda tu pale aliposema nimechaguliwa na wakina lupita nyong'o na david beckam hahahahaha mwenzake vanessa mdee alitangulia kupata kabla yake lakini hakumpost, j. mengi naona anapiga ubalozi ado ado but nae hajapata support anayoitaka mheshimiwa King......

Ila tuwasupport labda afunguliwe hata thread sticky ya kuwakumbisha wadau ubalozi
 
Hv si huyu huyu na timu yake ndo wanataka kumwangusha NASSIB...sasa nini?Kaona kila sehemu kagota...
 
Siku zote jua kuwa kama wewe huwafanyii wenzako na wao hawataweza kukufanyia kamwe. Cha msingi anza wewe kwanza na utaona watu watataka wenyewe bila kuwaomba.
 
aaaaaah mkuu 20% tenaa..? K for real mimi nilipenda tu pale aliposema nimechaguliwa na wakina lupita nyong'o na david beckam hahahahaha mwenzake vanessa mdee alitangulia kupata kabla yake lakini hakumpost, j. mengi naona anapiga ubalozi ado ado but nae hajapata support anayoitaka mheshimiwa King......

Ila tuwasupport labda afunguliwe hata thread sticky ya kuwakumbisha wadau ubalozi

Angalieni star tv sasa hivi laivu wanarusha maamuzi ya CCM dodoma!!!
 
Sijapata kuona king mburula kama huyu yeye asapoti wenziwe ila anataka yeye asapotiwe kasahau kuwa yeye ndo kalianzisha na alinywe na bado ndo kwanza asubuhi moto ndo huohuo, mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
hii thread imeanzishwa kumkejeli kiba nothing else
 
hii thread imeanzishwa kumkejeli kiba nothing else

Big NO!!! ni maneno yake alivyoongea clouds xxl.. kama unavyoona imetoka bongo5... Tatizo nin???

Lazima kama wadau tutoe maoni, lakini kwasababu mashabiki wake wa damu wanafki kupitiliza huwezi kuwaona humu kwasababu wanajuwa katoa shudu king wao, BUT ingekuwa amenena upuuzi huo diamond kuhusu mtv mama wangejazana humu hahahahaha muosha huoshwa anataka tumchukulie vipi kisa ubalozi tu wa wanyama wakati vanessa alikuwa kabla yake na hakuwahi kumpost huo utofauti uanze kwake???
 
Hahahah sasa akiwa na akina beckham ndio nini?Halafu anataka support ipi,huo ubalozi kama aliona hawezi angewaambia tu.
 
jamen tusiandike sana,me kama jiran wa kiba naomba yeyote aandike barua kwa kiba nami taifikisha..?!
 
Back
Top Bottom