Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
jamen tusiandike sana,me kama jiran wa kiba naomba yeyote aandike barua kwa kiba nami taifikisha..?!
Hawa wasanii wanahitaji ushauri namna ya kujibu maswali....kaulizwa kuhusu kumsapport Dai yeye kaanza kulalamika kuwa watu wanamchukulia poa.
Sasa sijui anataka nchi nzima tuhamie mbugani au tukawavalishe Tembo bullet proof vest, sijamuelewa.
Yeye binafsi ameshafanya mangapi mpaka sasa kuhusu huo ubalozi ? je ameshakutana na wahusika wa Maliasili kujua tatizo liko wapi haswa ? na ni support gani anaihitaji haswa, na kutoka kwa kina nani ? Wasanii, Media, Wanavijiji, Viongozi, au nani haswa ?
Ameshahama kwenye ile nyumba aliyofukuzwa??
Sapoti ya nini tena
Teh Teh....kwa hiyo alitaka iweje?
ila tuseme ukweli. ubalozi huu angepewa diamond angeutendea haki. angeweza hata kuupigia show, kuleta mabalozi wenzake na kuandaa tangazo. huyu mshamba wa kariakoo walikosea sana kumpa.
Naona hapo amesema aliomba kuwa balozi kwahiyo yeye hakuchahuliwa bali aliwafata yeye wampe ubalozi.
Ndio maana imemnyima raha as alitegemea kuitumia kama kiki kubwa kumsaidia aliposhindwa kiki ya muziki.
hivi na ile kiki ya kutembelea daladala mbona kama na yenyewe haikumature??