Ali Kiba: Kwanini watu wanachukulia poa mimi kuwa Balozi wa WildAid wakati nipo na wakina Beckham?

Ali Kiba: Kwanini watu wanachukulia poa mimi kuwa Balozi wa WildAid wakati nipo na wakina Beckham?

Hawa wasanii wanahitaji ushauri namna ya kujibu maswali....kaulizwa kuhusu kumsapport Dai yeye kaanza kulalamika kuwa watu wanamchukulia poa.

Sasa sijui anataka nchi nzima tuhamie mbugani au tukawavalishe Tembo bullet proof vest, sijamuelewa.

Yeye binafsi ameshafanya mangapi mpaka sasa kuhusu huo ubalozi ? je ameshakutana na wahusika wa Maliasili kujua tatizo liko wapi haswa ? na ni support gani anaihitaji haswa, na kutoka kwa kina nani ? Wasanii, Media, Wanavijiji, Viongozi, au nani haswa ?
 
Ahahaaa!!halafu kumbe Vanessa Mdee nimesikia alishawahi kua balozi na yeye wa hao Tembo,lakini hakuna aliyempa sapoti na watu walichukulia poa tu!sasa nashangaa Ally sijui anataka watu wafanyaje!?
 
+naungana na mtoa mada, huu ubalozi ungekua wa mashindano kati yake yeye na Diamond angepostiwa sana tu, zile team zote insta wangeachaje kumpost sasa!
 
kashaama toka wayback,cku hiz huwa anao ekana mchana afu ucku analala nchi ya jiran..?!
 
kwahyo unaamisha ex wa dangote inabid waendeleze ushirikiano kwakupost instagram kuwa kiba anatafuta chumba cha kupanga..?!
 
naambiwa kahama Leo asubuh cunajua mwenzetu makazi rasmi bado sana,afu bado ambassador wenyw wakujitolea..mmhh! me yangu macho..?!
 
Mashabiki wa Diamond ni sawa na maiti inayotembea.

#Rockstar4000presents

nyie wafu mliofufuka vipi? mlifufuka mkasahau ubongo kaburini au?? umemsikia king kabwela wenu anavyolalama lakini,? hahahahahahaaaaaa embu nicheke kwanza, eti anashangaa amejumuika na watu wakubwa lakini watu hatushoboki, mwambie hata akiitwa ikulu ya marekani wala hatutashtua, na haya ni mavuno ya dharau na majigambo. aanze kujirekebisha kwanza, ajifunze kusupport wengine nae ndio atapewa support.
 
Naona hapo amesema aliomba kuwa balozi kwahiyo yeye hakuchahuliwa bali aliwafata yeye wampe ubalozi.

Ndio maana imemnyima raha as alitegemea kuitumia kama kiki kubwa kumsaidia aliposhindwa kiki ya muziki.
 
ila tuseme ukweli. ubalozi huu angepewa diamond angeutendea haki. angeweza hata kuupigia show, kuleta mabalozi wenzake na kuandaa tangazo. huyu mshamba wa kariakoo walikosea sana kumpa.

Hahahaha...uko sahihi kabisaaa
 
Naona hapo amesema aliomba kuwa balozi kwahiyo yeye hakuchahuliwa bali aliwafata yeye wampe ubalozi.

Ndio maana imemnyima raha as alitegemea kuitumia kama kiki kubwa kumsaidia aliposhindwa kiki ya muziki.

hivi na ile kiki ya kutembelea daladala mbona kama na yenyewe haikumature??
 
Back
Top Bottom