Jojo sidhani kama anampenda nina hakika ni kutaka kumkomesha Diamond na kutafuta kick tuu...
Mwaka huu hauto kwisha utasikia jokate kahamia kwa mwingine..Yaani anabahati mbaya kweli yule kaka!watu wengi maarufu alokua nao karibu wapo kwa ajili ya kulipa kisasi kwa Nassib tu,Nilijua sapoti yake na Wema instagram huko itaendelea lakini nashangaa kimyaaa!!!
Yani anaona ajitoleee kabisa? amelidhika na nini? Yeye ana jifananisha na wakina Jackline Mengi ambao kwao pesa si tatizo? Siamini kabisa kama anafanya kazi hii bure kabisa ...Hakika nitaendelea kushangaa ...
Kiba angekua ana akili au washauri wazuri angeomba collabo na diamond ili atoke tena kimziki na sio kutaka kushindana na mtu aliyemzid kila kitu kwasasa. Tatizo mashabiki wake wanamtia ujinga kwakumwambia yeye anajua kuliko diamond which is far away to be true!
Ndio maana bado naamini anatakiwa kuitazama upya management yake maana ni ya ovyo sana...hivi kwanini walisitisha chekecha tour? atajutia sana nafasi aliyo ipata hakika! Nilidhani itakuwa ni mchi nzima apige hela..Halafu mapromota wa bongo wanatabia mbaya sana!!mshindi wa tuzo sita anashindwaje kupata show ndani ya mwezi mzima???
Kwa hiyo walimtafuta au alipeleka barua ya maombi? ok nimeelewa kwanini ana lalamika..alitegemea kupata faida ya tension ya watu..Ahahaha labda kama Mrs Regnald anampa posho ila nimesoma kwa page yake Jacky anasema ni kazi ya kujitolea tu.
Ingekua ni kazi ya kulipwa mapesa kibao wasingekuwepo kina Beckham maana kiasi cha pesa ambacho angetakiwa kulipwa hilo shirika lingekua limeshafilisika!!
Kwa hiyo walimtafuta au alipeleka barua ya maombi? ok nimeelewa kwanini ana lalamika..alitegemea kupata faida ya tension ya watu..
Mimi sijasahau kabisa kupiga..nina hakika Diamond ana rudi na tunzo si chini ya mbili..Fans!two days zimebaki b4 mlango kufungwaaa!fanya kuingia hapooo
@ mama.mtv.com/voting/.
Mkuu labda una tafuta ugomvi yani Kiba amuombe Collabo D? Teh Teh...lazima pachimbike hapo..Kiba angekua ana akili au washauri wazuri angeomba collabo na diamond ili atoke tena kimziki na sio kutaka kushindana na mtu aliyemzid kila kitu kwasasa. Tatizo mashabiki wake wanamtia ujinga kwakumwambia yeye anajua kuliko diamond which is far away to be true!
Mimi sijasahau kabisa kupiga..nina hakika Diamond ana rudi na tunzo si chini ya mbili..
Labda alishauriwa na wasimamizi wake na kupewa utaratibu wa kuomba kua balozi!ahahaahahahaaaa!!!
Ni kweli kama ulivyosema kwamba alitegemea kupata tension kwa watu na kuongeza CV yake.
Kiba angekua ana akili au washauri wazuri angeomba collabo na diamond ili atoke tena kimziki na sio kutaka kushindana na mtu aliyemzid kila kitu kwasasa. Tatizo mashabiki wake wanamtia ujinga kwakumwambia yeye anajua kuliko diamond which is far away to be true!
Sijui kwanini king mipango yake mingi inabuma, alitegemea daladala tour iwe talk of the town( but where)😂😂😂😂 kujitolea ubalozi alijua atapata attention napo holaaa.
Hao mashabiki wake sijui wako wapi kuacha kumsupport mwenzao,
"Mi alinichekesha tu aliposema unajua mi kuwa balozi watu wanachulia poa, mi nipo na akina Beckham na akina jack chain", hahahaaaaa nilicheka kwa nguvu! I was like WTF! Alitaka tutandike majani ya mtende kama tunampokea mwanakondoo au?