Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Jojo sidhani kama anampenda nina hakika ni kutaka kumkomesha Diamond na kutafuta kick tuu...
Yaani anabahati mbaya kweli yule kaka!watu wengi maarufu alokua nao karibu wapo kwa ajili ya kulipa kisasi kwa Nassib tu,Nilijua sapoti yake na Wema instagram huko itaendelea lakini nashangaa kimyaaa!!!