Ali Kiba na Abby Daddy waingia katika mgogoro mzito, WCB wahusishwa

Kulikuwa hakuna namna! Bob junior alikuwa tayari kuhatarisha urafiki wake na kiba lakini sio kukiacha kichwa kilichokuwa na kila dalili ya kuwa 'A list' artist.. Kiba ikambidi tu awe mpole l..
Sizani kama izo story ni za kweli kuwa kiba ndo alimruhusu domo kufanya kazi na sharobaro maana ile studio ni ya bobjunior labda ingekuwa kgt sawa

Na kuna siku domo kwny kipindi cha the base cha ITV alikanusha izo habari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Abby dad usiwe na tamaa, kuwa na msimamo. Hao unaofanya nao kazi ni brand kubwa usiwapoteze. Ili kazi zako ziendelee kufanya vizuri zaidi, kutambulika na soko la kimataifa.
 
Mashabiki ni wambea sana na ni wanafiki sana , ndo tatizo kwa wanamziki hawa wawili kila tatizo la kiba ,mind kausika man u can't be serious lete story za maana
 
Sidhani kama hata ana wazo hilo,yeye baada ya kutoa idhini ya Kamwambie irekodiwe Sharobaro haitaji anything in return.
Huyo ndiye Ali Kiba [emoji123]
nampenda sana dioamond ila toka nilivosikiliza ile interview ya dimpoz niliumia dana dogo alivo na roho ya unafiki hadi machozi yalinitoka
 
nampenda sana dioamond ila toka nilivosikiliza ile interview ya dimpoz niliumia dana dogo alivo na roho ya unafiki hadi machozi yalinitoka
Yule alikuwa anatafuta huruma kwa wananchi baada ya kulianzisha
 
nampenda sana dioamond ila toka nilivosikiliza ile interview ya dimpoz niliumia dana dogo alivo na roho ya unafiki hadi machozi yalinitoka

Machozi yalikutoka? Kuna watu wakinywa bia mbili tu lazima walie.
 
nampenda sana dioamond ila toka nilivosikiliza ile interview ya dimpoz niliumia dana dogo alivo na roho ya unafiki hadi machozi yalinitoka
ukifikiria vizuri. pale kuna mtu alitaka kupata sympathy kwa wananchi na bahati nzuri alifanikiwa kiasi
 
Tunampa ofa ya kurekodi ngoma moja na Laizer, tunajua anataka ila anashindwa kusema.. Mpeni taarifa # aje wasafi studios wala asiogope [emoji23] [emoji23]
Kiba hafany copy wala Nigerian flovour so kwa laizer Ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…